Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Nimeotea mkuu.
Nilibahatisha kwenye ule uzi wa selfika sio mtembeleaji sana. Miaka yote nimeotea kuwaona wadada wawili tu so huwa siuzingatii sana. Majuzi sasa ndio nakutana na Bantu Lady

Ni kazuri halafu ka mwananchi mwenzangu😍

hakika hujakoseaaa shemlakeee yani mulemuleeeeee!! Hapo umepata chombooo haswaaahh kishimiliee kweri kweriii!!
 
Kumbe pia ni Yanga mwenzangu Aaawww mbona huwa sikuoni? Huwezi amini, leo ndiyo mara ya kwanza nakuona eti!!!
Antonnia Aaliyyah shemeji yetu kapitishwa rasmi, ila mazoea naye sitaki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkaoge maji ya bahari kwanza 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️😂😂😂😂
Shemelaa aheshimiwe nawatruuu wotreee kipenzee Usijareee kabesaaa hapo tunakaa nae mbareeee maili miambiliiii kidogoo 😁🤭!!

Kumbe mwananchi lol namsalimia in the name of Mayelee💛💚💚💚✌️✌️✌️✌️😂
 
Huyo mtu wenu mtafuteni vizuri 😄😄😄😄 aliwaunganisha tela nini? Aliwakomesha sana 🤣🤣🤣🤣
Mimi ni mimi sina ID nyingine kabla, kwa 10 yrs.
No hakuwa mtu wetu bali alijua sana kuvaa uhusika kama wako, mcheshi mwerevu na mrembo kama wewe.
ERoni na mimi alijua kutuchezesha sana tungekuwa mafala tungepigana😂😂😂😂.
Ni mtu wa dini sana Ostadhat but alijua kujifyatua😂😂
 
Shemelaa aheshimiwe nawatruuu wotreee kipenzee Usijareee kabesaaa hapo tunakaa nae mbareeee maili miambiliiii kidogoo 😁🤭!!

Kumbe mwananchi lol namsalimia in the name of Mayelee💛💚💚💚✌️✌️✌️✌️😂
Wabheja sana 👏👏👏 mkae mbali sana 😄😄😄😄😄 nianze kumpet pet shemeji yenu. Aone alichelewa wapi kujuana namimi. Kama mtahitaji somo niwafundishe, mnione Whatsapp 💃💃💃💃🤣🤣🤣🤣🤣
 
No hakuwa mtu wetu bali alijua sana kuvaa uhusika kama wako, mcheshi mwerevu na mrembo kama wewe.
ERoni na mimi alijua kutuchezesha sana tungekuwa mafala tungepigana😂😂😂😂.
Ni mtu wa dini sana Ostadhat but alijua kujifyatua😂😂
Ooh kumbe watu hufanana tabia naona, enhee mzigo weee heeee isijekuwa, mzigo unaendana na huu uzi 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom