Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #1,841
Watakuwa wale wa rangi rangi ''reject'' 😀😀namtajaje mwanaume 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuwa wale wa rangi rangi ''reject'' 😀😀namtajaje mwanaume 😂
mimi nataka mbunye sitaki marinda 😂Watakuwa wale wa rangi rangi ''reject'' 😀😀
Ebu anza wewe ili kurahisisha mambo
Nimeotea mkuu.
Nilibahatisha kwenye ule uzi wa selfika sio mtembeleaji sana. Miaka yote nimeotea kuwaona wadada wawili tu so huwa siuzingatii sana. Majuzi sasa ndio nakutana na Bantu Lady
Ni kazuri halafu ka mwananchi mwenzangu😍
Shemelaa aheshimiwe nawatruuu wotreee kipenzee Usijareee kabesaaa hapo tunakaa nae mbareeee maili miambiliiii kidogoo 😁🤭!!
Huyo mtu wenu mtafuteni vizuri 😄😄😄😄 aliwaunganisha tela nini? Aliwakomesha sana 🤣🤣🤣🤣ERoni
Hivi Patience123 sio Bantu Lady
kweli?
Nakumbuka alivyojua kutuchezesha enzi zile 2017 to 2019😂
No hakuwa mtu wetu bali alijua sana kuvaa uhusika kama wako, mcheshi mwerevu na mrembo kama wewe.Huyo mtu wenu mtafuteni vizuri 😄😄😄😄 aliwaunganisha tela nini? Aliwakomesha sana 🤣🤣🤣🤣
Mimi ni mimi sina ID nyingine kabla, kwa 10 yrs.
Wabheja sana 👏👏👏 mkae mbali sana 😄😄😄😄😄 nianze kumpet pet shemeji yenu. Aone alichelewa wapi kujuana namimi. Kama mtahitaji somo niwafundishe, mnione Whatsapp 💃💃💃💃🤣🤣🤣🤣🤣Shemelaa aheshimiwe nawatruuu wotreee kipenzee Usijareee kabesaaa hapo tunakaa nae mbareeee maili miambiliiii kidogoo 😁🤭!!
Kumbe mwananchi lol namsalimia in the name of Mayelee💛💚💚💚✌️✌️✌️✌️😂
Ooh kumbe watu hufanana tabia naona, enhee mzigo weee heeee isijekuwa, mzigo unaendana na huu uzi 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🤣🤣🤣No hakuwa mtu wetu bali alijua sana kuvaa uhusika kama wako, mcheshi mwerevu na mrembo kama wewe.
ERoni na mimi alijua kutuchezesha sana tungekuwa mafala tungepigana😂😂😂😂.
Ni mtu wa dini sana Ostadhat but alijua kujifyatua😂😂
Eh aiseeni piemu tu zinznyemelewa taratibu 😂
NakaziaWewe mwanadamu umewahi toa mada ipi inayoeleweka labda halafu tuongee kifair tu bossy, huu Uzi sio wamaana maana hujautoa wewe acha watu waenjoy maisha ni mafupi ndio maana jf ukitoa vitu serious wanafuta kila saa tukunje sura Kisa
Alafu atanitaja nanFanya 1,000
Thank you [emoji126][emoji126][emoji126][emoji8][emoji8]
Mi kw so mamlaiiMbona povu bablai😂😂😂😂
Uzi ni wa kijinga na wajinga tupo kuutembeza..umekerwa?🤣🤣
Mie ni bonge la pisi hatariiAlafu atanitaja nan
He wewe unashida mahali Fulani sio buree hili ni shepu Sasa ,kha au kituko mbona Kuna wengi wanadamu
Hasira ya Nini. Bablai ??Poteeni na msinitaje huko wakuu😅
Ili unipange??Embu nitumie shepu ako pm mama la mama