Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Nenda kwa madenti wenzako dogo 😅kwahiyo piemu umezira kabisa kuja 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwa madenti wenzako dogo 😅kwahiyo piemu umezira kabisa kuja 😂
hupendi vitu vipya vilivoingia sokoni?? 😂Nenda kwa madenti wenzako dogo 😅
Njoo tu kikubwa tuelewane,naishi chini ya $1 napambana niwe kama mengi...Nichukuliwe na nani ndugu na sura yangu chachu.
Vipi unataka kunichukua niandae mabegi nije?
Hajawahi kumtupa kabisa 😋dah....😂kwakweli mungu hamtupi mja wake....
tunaanza lini sasa.....Hajawahi kumtupa kabisa 😋
Namtaja TO YEYEKama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu; kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa.
Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa kuongea.
Kwa kutumia uzi huu, funguka ili naye ajue; inawezekana na yeye ana hisia na wewe ila anashindwa pa kuanzia; pia ni vizuri ukatoa na sababu zilizo kushawishi.
Wa kwangu anajulikana; haya kazi kwenu, tiririka.
Kama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu; kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa.

Wa kwangu anajulikana; haya kazi kwenu, ti
To Yeye aje hapa tafadhaliKama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu; kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa.
Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa kuongea.
Kwa kutumia uzi huu, funguka ili naye ajue; inawezekana na yeye ana hisia na wewe ila anashindwa pa kuanzia; pia ni vizuri ukatoa na sababu zilizo kushawishi.
Wa kwangu anajulikana; haya kazi kwenu, tiririka.
Apana sikua na ID ya zamani sema tangu 2016 nlikuwa naingia nasoma tu sikuwa na account juzi ndo nkafungua account rasmi, npo aware na mijadala mingi inayoendelea humu.hahahaha burudani kabisa, nashangaa wanaovamia maGono ilihali UTI-less papuchi iko kwenye mikono
ila, ID yako ya zamani ni ipi ?
ahaa sawa sawa, karibu mkuuApana sikua na ID ya zamani sema tangu 2016 nlikuwa naingia nasoma tu sikuwa na account juzi ndo nkafungua account rasmi, npo aware na mijadala mingi inayoendelea humu.
😀 😀 😀 tunaomba ufafanuziHE! JF WANAUME PEKEE NDO TUPO, INAMAANA KUNA WATU WANA HISIA NA WANAUME WENZAO!!!!?
Mimi nipo hivyo kimuonekano Ila hua sipendi kua na mandevu yananichosha hua nayanyoa yote kipara kabisa,Kama yupo wa hivi akuje namuita View attachment 2600309
Itatutosha hiyo, tutashindia hata makande kila siku sina shida.Njoo tu kikubwa tuelewane,naishi chini ya $1 napambana niwe kama mengi...
Haina noma boss!! Pamoja sanaahaa sawa sawa, karibu mkuu
No thank youhupendi vitu vipya vilivoingia sokoni?? 😂
Anataka ndoa, umejiandaa kwa hilo?Namtaja TO YEYE
To Yeye aje hapa tafadhali
Kuwa na amani. Usalama wako nausimamia mm 😊KBora tu bro wake ampore simu, asiwe anasumbua mashangazi huku, atusababishie kesi sie.
duh..... kweli hapa Analyse alipiga sound ya kufa mtu.... 😂No thank you
Salamu zitakuwa zimemfikiaNampenda cousin yangu Strawbella