Sax
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 3,578
- 6,740
wow! Karibu sana,hakika hutajutia uamuzi wako,malkia pekee kwenye kasiri langu...Itatutosha hiyo, tutashindia hata makande kila siku sina shida.
Nakuja basi, wacha niwaage nyumbani kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wow! Karibu sana,hakika hutajutia uamuzi wako,malkia pekee kwenye kasiri langu...Itatutosha hiyo, tutashindia hata makande kila siku sina shida.
Nakuja basi, wacha niwaage nyumbani kabisa
Labda anatafakariLovie Lady uko wapi mamilooo
Nawe hautajuta kunichagua🤗wow! Karibu sana,hakika hutajutia uamuzi wako,malkia pekee kwenye kasiri langu...
ID yake ndio ipi
😂au mnadhani mie ni albinoWewe tunakutaka wengi... acha tu... nimimi nipo tyr kumia 1M kwa ajili yako....
Say something....... Hunitaki???[emoji847][emoji847]
Tema maneno ya kumtoa nyoka pangoniSay something....... Hunitaki???
Ohoo!!!!!kumbe Tit for tat is the holy game..Mwenye kisu kikali, ndio mla nyama 😀😀
Awee usiniambie
😂😂😂Kumbe watu Wana babes zao na hawasemi watu wasiri😂😂Uzi una viewrs 4K
Naona watu wanazungukia kuchunguli kama wametajwa, au babes zao zimetajwa 😂
Kwahiyo unataka utupangeNilishamuomba kibali