Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Kama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu. Kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa.​

Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa kuongea.

Kwa kutumia uzi huu, funguka ili naye ajue. Inawezekana na yeye ana hisia na wewe ila anashindwa pa kuanzia, pia ni vizuri ukatoa na sababu zilizo kushawishi.

Wa kwangu anajulikana. Haya kazi kwenu, tiririka.​
Cariha yule mnaesemaga mtata,Mimi nawapenda wanawake ambao emotionally ni intelligent 😁😁😁
 
Raha ya mgeni akaribishwe ndani,ila wewe umefunga milango. Fungua pm tuyajenge Mwakani muda Kama huu tumlete Satoh Jr.😅😅
Halafu wewe ya nini kwambia dada yangu yote haya
Me niliku PM nkaona umechelewa kujibu nikafuta
Leo sijalala kwa kuwaza kwanini hukunijibu wakati nilikwambia kunywa energy maana tunakesha jana
 
Back
Top Bottom