Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Kwa wanaosema wanamwamini rafiki asilimia 100 hawajitambui. Binadamu yoyote hata kama ni wazazi usiwaamini asilimia 100.
 
Sheria number 1 kwanza sitaki mazoea na mtoto wa mtu
 
Dah mnawezaje?Sinaga rafiki wa kiume,siwawezi ni wambea Sana.,na hawako royal ukiwa nae unatakiwa kuwa makini anaweza akaloweka siku ukilewa......aku nikitaka kuenjoy mtoko simu moja Kwa shosti yangu wa kike nakunywa Kwa Raha zangu.
 
Pole mwaya, ila nilichogundua kwenye urafiki mkiwa wote real bila unafiki mambo yanaenda.

Kikubwa tu vibe zenu ziendane, ila ukiona mtu anazingua haifai kabisa kuforce urafiki.
Kweli,nina rafiki tulikutana tukiwa na 17 nadhani mpaka Leo tumekuwa mashangazi,yaani tumefanyia familia zetu zihafamiane,tumekuwa Kama ndugu....Kila mmoja anajua strength na weakness za mwenzie,tunazinguana,tunasolve,tunalia pamoja,tunacheka pamoja yaani huwa nashangaa wanaosema hakuna rafiki wa kumuamini....ukimchukulia mwenzio Kama malaika kweli huwezi pata rafiki
 
Well said.....rafiki yangu anabebaga misala yangu Ila yupo tu na Mimi🤣🤣🤣
 
Ngoja hao watoto wako unaowaamini wakutoe ndagu ndio utajua Dunia imevaa sunglasses [emoji41][emoji41][emoji41]
Kama wanangu wa Damu wataamua hivyo sawa tu but Kwa misingi niliyowatengenezea kama baba ninayependa maisha Yao yote waishi Kwa amani sizani kama wanaweza kufanya hivyo ..but shetani yupo kazini mybe akawapitia mkuu .
 
Well said.....rafiki yangu anabebaga misala yangu Ila yupo tu na Mimi🤣🤣🤣
Marafiki wa kweli huvumiliana na kuchukuliana madhaifu
Mmoja akizingua mnachambana😂😂 badae mnacheka urafiki unadumu
 
Marafiki wa kweli huvumiliana na kuchukuliana madhaifu
Mmoja akizingua mnachambana😂😂 badae mnacheka urafiki unadumu
Kabisaa....kukiwa na upendo wa kweli Kila kitu kinavumilika
 
Kama wanangu wa Damu wataamua hivyo sawa tu but Kwa misingi niliyowatengenezea kama baba ninayependa maisha Yao yote waishi Kwa amani sizani kama wanaweza kufanya hivyo ..but shetani yupo kazini mybe akawapitia mkuu .
Ishike Sana paragraph ya mwisho.
 
Urafiki wa hivyo kuvunjika sio rahisi.
Pia nina rafiki wa hivyo, tulikutana shule form 1 tukapendana hadi leo tumekua mashangazi urafiki wetu bado uko perfect.

Marafiki wa kweli wapo🥰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…