Mungu atuwekee tu ma best zetu😍😍wanakuwaga faraja Sana kwenye nyakati ngumuUrafiki wa hivyo kuvunjika sio rahisi.
Pia nina rafiki wa hivyo, tulikutana shule form 1 tukapendana hadi leo tumekua mashangazi urafiki wetu bado uko perfect.
Marafiki wa kweli wapo🥰
Sana kwakwel, hao wanakuaga ni heaven sent😍Mungu atuwekee tu ma best zetu😍😍wanakuwaga faraja Sana kwenye nyakati ngumu
😍🤗 Ahsante Dada mkubwa.Asante Kwa kuniamini nakuamini pia mdogo wangu😍
❤️😍🤗 Ahsante Dada mkubwa.
❤️ Forever
Ahaaaa kwanza sinywi pombe afu marafiki zangu wa kiume sio type za wanaume ninaoweza toka nao.Dah mnawezaje?Sinaga rafiki wa kiume,siwawezi ni wambea Sana.,na hawako royal ukiwa nae unatakiwa kuwa makini anaweza akaloweka siku ukilewa......aku nikitaka kuenjoy mtoko simu moja Kwa shosti yangu wa kike nakunywa Kwa Raha zangu.
Dah,kweli duniani kila mtu na lifestyle yake.....mi kutoka mwenyewe bila mtu wa kupigia nae story Bora ninywee ndani nicheck na movie......Ahaaaa kwanza sinywi pombe afu marafiki zangu wa kiume sio type za wanaume ninaoweza toka nao.
Kingine hata hawajuagi natokaga na nani.
Kubwa kuliko yote am done with african men siwezi date mwafrika kwa sasa So marafiki zangu wa kiume ni wa kiume nafasi yao iko pale pale. Wadhikaji sana.
Afu sitokagi na marafiki zangu awe wa kike au wa kiume noooooooooo nayoka mwenyewe.
Na ukome kutoka na marafiki zako🤣🤣Dah,kweli duniani kila mtu na lifestyle yake.....mi kutoka mwenyewe bila mtu wa kupigia nae story Bora ninywee ndani nicheck na movie......