Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Urafiki wa hivyo kuvunjika sio rahisi.
Pia nina rafiki wa hivyo, tulikutana shule form 1 tukapendana hadi leo tumekua mashangazi urafiki wetu bado uko perfect.

Marafiki wa kweli wapo🥰
Mungu atuwekee tu ma best zetu😍😍wanakuwaga faraja Sana kwenye nyakati ngumu
 
Dah mnawezaje?Sinaga rafiki wa kiume,siwawezi ni wambea Sana.,na hawako royal ukiwa nae unatakiwa kuwa makini anaweza akaloweka siku ukilewa......aku nikitaka kuenjoy mtoko simu moja Kwa shosti yangu wa kike nakunywa Kwa Raha zangu.
Ahaaaa kwanza sinywi pombe afu marafiki zangu wa kiume sio type za wanaume ninaoweza toka nao.
Kingine hata hawajuagi natokaga na nani.

Kubwa kuliko yote am done with african men siwezi date mwafrika kwa sasa So marafiki zangu wa kiume ni wa kiume nafasi yao iko pale pale. Wadhikaji sana.

Afu sitokagi na marafiki zangu awe wa kike au wa kiume noooooooooo nayoka mwenyewe.
 
Dah,kweli duniani kila mtu na lifestyle yake.....mi kutoka mwenyewe bila mtu wa kupigia nae story Bora ninywee ndani nicheck na movie......
 
Urafiki wakati wa raha tu ndo maana Mimi nikipata hela nazima na simu kabisa, naagiza nyama choma na wine. Sitaki mazoea na mtoto wa mtu.
 
nilishawahi kuwaamini watu mara kadhaa wakaninyoosha nikajifunza kwa sasa simuamini mtu
 
Back
Top Bottom