Kimsingi haupaswi kumuamini rafiki yako na rafiki yako hapaswi kujia lolote kwenye maisha yako.Kila mtu anarafiki yake anayekuwa naye kwenye mambo Mengi ila swali langu je unamwamini kiasi gani huyo rafiki yako ??
😁Mie Sinawakumuamini kwakweli naishi Kwa msaada wa Mungu Kwa kweli
Hadi Mimi huniamini?Sijawahi kumuamini mtu yeyote kwakweli even myself sometimes I don't trust 😌
😃😃😃😉 😉Hadi Mimi huniamini?
Basi sawa😃😃😃😉 😉
kiuweli marafiki sio wakuamini sana nakumbuka baba yangu aliniambia kuwa "Hata aliyekufa meno yake ni meupe hivyo usidangwe na anaekutabasamia"Kila mtu anarafiki yake anayekuwa naye kwenye mambo Mengi ila swali langu je unamwamini kiasi gani huyo rafiki yako ??
😁Mie Sinawakumuamini kwakweli naishi Kwa msaada wa Mungu Kwa kweli
aya😊🤗Basi sawa
unataka kusema sikuizi watu hatuaminiani sio😃😃😃swali gumu sana hili 😅
nataka niseme hivyo, ila kuna watu nimepitia nao mengi kusema siwaamini hata kidogo naona kama ni dharau 😅unataka kusema sikuizi watu hatuaminiani sio😃😃😃
yeah ni kweli,,, ila kama hawajawahi kukisnitch sawa😂nataka niseme hivyo, ila kuna watu nimepitia nao mengi kusema siwaamini hata kidogo naona kama ni dharau 😅
Watanzania are good pretendersWatu banna, eti siamini mtu yeyote,
Wakati Kalyanda ilikuja mukaiamini. Mkaweka pesa zenu mkapigwa.
mimi ninakuamini😂 pamoja na Gily 😂yeah ni kweli,,, ila kama hawajawahi kukisnitch sawa😂
akikuuliza je....Muamini mtu lakini usimuoneshe ajue 💯%
Inategemea na status yenu. Kuna mtu ukimjibu humuamini ni kosa.akikuuliza je....