Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
NdioNa wewe umeamua kukaa kimya bila kuwataja kwa kuwa wanajulikana
Itakuwa Tanga mjini alikataa kusaga mahindiSoon kila kitu kitakuwa wazi
🤐Itakuwa Tanga mjini alikataa kusaga mahindi
🤐🤐🤐Unashangaa usagaji wa mfanyabiashara mdogo wakati chura kiziwi anaekuongoza nae anasaga na kukuboa huku mtoto wake akifokoa makalio ya kina Mwijaku.
Abdul na baressa wakiona hii lazima wahy ushuke kuwa hivi vyombo watapewa umma bora peponi achilia mbali wale bikira 70Unakuta mtu biashara yake ni ya kawaida sana ila anasukuma ndinga za maana kumbe nyuma ya pazia anasagwa na kusaga wenzake.
Listi ni ndefu mno na ni mambo ya aibu ,kiasi kwamba hata mikono inatetemeka. Na si kwamba hawajulikani , la hasha watu wameamua kukaa kimya mambo yasiwe mengi.
Tena mpaka mirungi nayo anaisaga.
RestyUnakuta mtu biashara yake ni ya kawaida sana ila anasukuma ndinga za maana kumbe nyuma ya pazia anasagwa na kusaga wenzake.
Listi ni ndefu mno na ni mambo ya aibu ,kiasi kwamba hata mikono inatetemeka. Na si kwamba hawajulikani , la hasha watu wameamua kukaa kimya mambo yasiwe mengi.
Tena mpaka mirungi nayo anaisaga.
Astakhafirullah...Heshimu dini za Watu Chogo weweAbdul na baressa wakiona hii lazima wahy ushuke kuwa hivi vyombo watapewa umma bora peponi achilia mbali wale bikira 70