Unamuheshimu mtu unakuja kugundua ni msagaji. Hii nchi hii inasiri.

Unamuheshimu mtu unakuja kugundua ni msagaji. Hii nchi hii inasiri.

Unakuta mtu biashara yake ni ya kawaida sana ila anasukuma ndinga za maana kumbe nyuma ya pazia anasagwa na kusaga wenzake.

Listi ni ndefu mno na ni mambo ya aibu ,kiasi kwamba hata mikono inatetemeka. Na si kwamba hawajulikani , la hasha watu wameamua kukaa kimya mambo yasiwe mengi.

Tena mpaka mirungi nayo anaisaga.
Chai
 
Binafsi sioni shida kwa wanaonasagana maadam hawaingiliii utu na uhuru wa mtu asie wa kaliba hio.

Maisha ya mwanandamu kilele chake ni furaha , na furaha inapatikana kwa namna nyingi haidhuru wengine wanaina ya namna gani ila tu haitwezi utu wa mtu.
 
Back
Top Bottom