Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, una majina mawili nini? Naona umechanganya mambo. Nashindwa kukuandika kwenye listi kwa sababu umeweka jina tofauti na jina lako la JF
Mkuu Luteni,
Wana siasa siku zote huwa wanasema Ahhh, sitaki, ahh hadi nimuulize mke wangu. Ni nchi chache sana ambazo kuna hiyo tabia ya kuanza kampeni mapema na kusema wazi kabisa ntagombea. Hata Kikwete sasa alikuwa akisema hivyohivyo. Kasema nini Dr. Slaa hilo si muhimu. Kwanza tunataka kuona anajiamini bila kujali kama atakosa kura au vipi. Kwani Karatu alianza vipi hadi akashinda? Tena huko alianza akiwa hata hafahamiki. Sasa hivi Dr. Slaa ni jina kubwa na ningelitegemea sasa awe msemaji kutoka CHADEMA kwenye hili swala la Wafanyakazi. Ni kipindi cha kutumia Lugha mbaya ya viongozi wa CCM na kujifagilia.
CCM hawajawahi kupata upinzani mkubwa kiasi hiki. Sasa wamekuwa kama Simba aliyejeruhiwa na wako tayari kumrarua mtu yeyote. Ila ukikutana na Maboxer wazuri kama Mohammed Ali au Johnson, ndiyo kwanza watazidi kukutukana kuwa ".... he wee vipi, mama yako anapiga zaidi kuliko wewe...." Sasa wewe zidi kuchukia na rusha makonde ovyo na uchoke. Hapo anakutwanga kama mtoto mdogo. Atakayekuwa Mvumilivu wa Kupokea mapigo ndiye atashinda.
Mwisho hii listi ni kutaka tu kumuonyesha kuwa tuko wengi wenye imani naye. Tanzania ni nchi ya Demokrasia. Na ni hilo leo hii tunalilaani na hivyo hatuwezi kumshambulia wala kumlazimisha mara akikataa. Kumbuka maneno ya jana ya Kikwete ya Mbayuwai kuwa "Akili za kuambiwa na changanya na akili zako......" Huyu nii Dr. wa sheria na nina imani muono wake utakuwa hata juu zaidi yetu sisi. Angelikuwa na imani na misimamo ya Watanzania ninaamini angeligombea na akamshinda Kikwete. Ila sisi ni Kigeugeu sana.
Clinton aliwaambia Wanyarwanda kuwa "mkikaa kujadiliana, hakuna uhakika mtaafikiana ila msipokaa basi hakuna kuafikiana". Na sisi tunapojaribu kuweka listi, hakuna uhakika kama Dr. Slaa atakubali ila TUSIPOJARIBU basi tuna uhakika kabisa kuwa HATAGOMBEA.
Naomba nitofautiane na wote hapo juu kwa hili mimi sisimami kuhesabiwa ninazo sababu,
kwanza... Dr. Slaa mwenyewe kasema wazi hagombei kwa hiyo si busara kumlazimisha
pili... kumlazimisha kama alivyosema inaweza kuwa mbinu ya sisiem kumvunja nguvu mwenyewe na jimboni kwake
tatu... si kila jemedari mkuu lazima atangulizwe mstari wa mbele vitani kuna athari zake atakapoanguka
nne... bado naona nafasi aliyonayo ya uwakilishi bungeni inamfaa zaidi ya kukimbilia urais
tano... chama chake hakijaamua ni nani tuwape nafasi vijana wengine zaidi ya kumtegemea mtu mmoja tu
mwisho... kusema hayo si kuwa sithamini mchango wake nauthamini sana ila uongozi bora hupatikana popote si lazima kwenye ngazi ya urais tu.
HOPE DIES LAST
Hayawi hayawi yamekuwa. Wengine walitucheka ila ninaamini kuwa JF tumechangia Dr. Slaa kubadili mawazo na kugombea. Asanteni wote waliojiandikisha hadi namba 95. Ila sasa lazima MJE wengi kuunga mkono na IDADI yetu iwe kubwa ya kutisha. Nina imani sasa kufika zaidi ya 1,000 hadi mwezi ujao mwishoni. Na hawa 1,000 wataenda kutengeneza wengine walau 20 kila mmoja.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
1.Dr. Slaa 2.MKANDARA 3.King of kings 4.Masanilo kugema 5.Fidel80
6.Bht 7.Tanzania 8.Ndege ya Uchumi 9.Jiwe 10.Jakathesi
11.Technician 12.Kilembwe 13.Ndjabu Da Dude 14.Bollo Yeng 15.Selous
16.Nyamizi 17.Mfwatiliaji 18.Sikonge 19.Ben 20.Lorah
21.Chief 22.Alpha 23.Malunde-Malundi 24.Muhindi 25.Nanu
26.Betina 27.Baija Bolobi 28.Epigenetics 29.Member 911 30. Mlalahoi
31.Mag3 32.Nndondo 33.Tai Ngwilizi 34.Sn2139 35.Shalom
36.Mc 37.Firstlady1 38.Henge 39.Nemesis 40.Mchili
41.Ngambo Ngali 42.Positive Thinker 43.Advocate Jasha 44.Zhule 45.Araway
46.Pasco 47.Mbu 48.The Invincible 49.Vivian 50.Daughter
51.Deo 52.Holowane 53.Kingi 54.Tzpride 55.Mzee Punch
56.Kiby 57.Mtangi 58.Birigita 59.Rwabugiri 60.Suzzie
61.Omutwale Kanyigo 62.BabaDesi 63.Bullet 64.Kinya 65.Mwasi
66.Geza ulole 67.Tuandamane 68.Dingswayo 69.Kitia 70.Kiwi
71.Kodabosi 72.Cammory 73.Babu M 74.Wa Mjengoni 75.Mzawa Halisi
76.Kungurumweupe 77.Njilembera 78.MpigaFilimbi 79.Mageuzi1992 80.Kilemi
81.Kwame Nkrumah 82.Carthbertl 83.Mageuzi1992 84.Kamende 85.MJM
86.Allydou 87.Original Pastor 88.Nono 89.Isaya Mwita 90.Mfalme
91.Saitama Kein 92.Pilato2006 93.Augustine Moshi 94.Kipipili 95.Masikini Jeuri.
96.Mawazotu 97.QuadratJ 98.Kisoda2 99.Tumain 100.Jack Beur
101. Mnene1 102.PayGod 103.Mzalamo 104.Anaruditena 105.ncha
106.Mgalanjuka 107.Mganyizi 108.Ngorunde 109.Nyamayao 110.Kamaka
111.Kingi 112.
Tumeshafika 90 huraaa!!!!!, lengo ni 100 hadi mwisho wa mwezi.
(Andika jina lako tu na mie nitaongeza kwenye listi)
4.Kagemuro1. Dr. Slaa.
2. Sikonge.
3.King of kings