Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Inakuaje mtu unakosa raha ya maisha kwa ajili ya mtu mmoja unaempenda halafu yeye hana mpango na wewe. Duniani tupo watu zaidi ya 7 billion kwanini ujisumbue kung'ang'ania mtu mmoja ambae anaku-Ignore.
Ukiwa peke yako unakuwa unamuwaza ila mwenzio hana habari nawe, unacall na kutext ila mwenzio hana habari (He/she don't give a damn shit)
Unampenda sana unamuonyesha upendo wa kweli ila ha-Appreciate lolote ulifanyalo. Unabaki kulia tu usiku wa manane unawaza hadi kujiua au kujiona mtu usie na maana maishani wakati YOU WORTHY MORE THAN BILLIONS BEFORE GOD.
Kwanini uvumilie yote hayo mateso kama vile huyo abayekutesa ndio binaadamu pekee alibaki ulimwenguni..Wewe unakonda mwenzio anatoka shavu dodo.
Penda unapopendwa, penda pale unapoona unapata mrejesho wenye thamani ya upendo unaotoa. Wapo wengi wanatamani wakupe upendo wa dhati ila uneqafumbia macho na kung'angani mtu mmoja asiyejua thamani yako na thamani ya upendo wako.
Usilazimishe kupendwa,
Usilazimishe mawasiliano
Usilazimishe urafiki
Usilazimishe kupenda
Fura inachukuliwa haipewi..usisubiri mtu akupe furaha inuka kaichukue.
Be Valuable not available to everyone.
Kupendana ni upumbavu
Vers