Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaUkishajua thamani yako bas uwez umizwa na mapenzi,kwann ulazimishwe kupendwa na mtu ambaye haoni thamani yako!!
😆😆Sexzonig 🤗
you care!!!Aliyeniumba alisahau kunuwekea kipengele cha kuumia kisa kutokupendwa. I don't careeeee!
jezi ya simbaMatarajio ya nn mkuu
Hahaha upwiru tatizoBora niwe pekee angu mimi, bora niwe pekee angu
Mkuu tupe feedbackNi kweli ndugu sasa huwa nafikiria naweza nkasema nikaze afu nikaambuliaa patupuu though inaweza ikawa ananitest uvumilivu wangu ukojeeee.... Na in short dogo ni mkali yani kama unavojua Toto za kichaga ana kababy face Fulani hivi ,sema Yale maeneo mengine hakuna sana ila mie sio Mdau sana wa chura, akili nyingine inaniambia nikomae hadi mwisho nione inakuwajee though suala LA kumtext kwa sasa nastop kwanza sabab sipendi kuwa blue ticked kwangu ni bonge ya dharau
Yeye weakness yake ukimface ana kwa ana anakuwa mdogo na hawi comfortable so nasubiri chuo kifunguee nijarbu mface moja kwa moja
Au unasemaje ndugu
Polee mkuuNipo kwenye hii situation kwa Sasa kwa kweli inahitaj nguv ya ziada kumpotezea mtu unaempenda kwa dhati nimeshajaribu kumpotezea Mara mbili nashindwa narud Tena nyuma Hadi najihis mpumbavu namb zake zpo kichwan nammiss lkn yey han mda na mim inaumiza