Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

𝐇𝐢𝐯𝐢 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐮𝐦𝐞𝐬𝐡𝐚𝐰𝐚𝐡𝐢 𝐤𝐮𝐛𝐚𝐦𝐛𝐢𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐦𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐭𝐮 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐡𝐚𝐫𝐚𝐟𝐮 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐡𝐮𝐝𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐯𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐬𝐡𝐚 𝐮𝐤𝐚𝐣𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐞𝐰𝐚 𝐮𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐦𝐜𝐡𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐢𝐥𝐞 𝐦𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐬𝐢𝐨 𝐲𝐚𝐤𝐨,
𝐀𝐜𝐡𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐧𝐠𝐞𝐚 𝐯𝐢𝐭𝐮 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐯𝐢𝐥𝐞 𝐧𝐢 𝐬𝐢𝐦𝐩𝐥𝐞 𝐬𝐢𝐦𝐩𝐥𝐞 𝐭𝐮,
𝐇𝐚𝐮𝐣𝐮𝐢 𝐦𝐚𝐮𝐦𝐢𝐯𝐮 𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐡𝐮𝐬𝐢𝐚𝐧𝐨 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐧𝐲𝐚𝐧𝐲𝐮𝐚 𝐦𝐤𝐨𝐧𝐨 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐚 𝐯𝐢𝐭𝐮,
 
Wewe upo vipi Feity??

You care to share with us?
Naonaga mapenzi si kwaajili yangu mana mara nyingi ni mwendo wa kupigwa na vitu vizito tu.

Nishazoea kiasi kwamba naweza kaa hata mwaka nipo single hasa nikitoka kuumizwa hivo naupa moyo wangu muda wa kupona na kufanya mambo mengine.

Nilichogundua mapenzi ukiyaendekeza sana unajikuta mtumwa hivo muda mwingine unajitoa ufahamu.
 
Mapenzi yana nguvu na yanaumiza sana na Moyo haupangiwi
Paleomammalian Cortex (Limbic System) hii ndio sehemu ya ubongo inayohusika nma kupenda mtu, unapomuona mtu yoyote unayempenda hii sehemu ya ubongo inatoa chemicals mbazo zinapelekea moyo kwenda kasi, halafu unasikia moyo unampenda sana huyo mtu lakini ukweli huo upendo upo kwenye ubongo. Hizo hisia unazisikia kwenye moyo sababu kuna Nerve mbalimbali ndani ya moyo ambazo huhisi maumivu ua hali yoyote kutokana na jinsi ubongo ulivyoamua moyo uhisi…

Mzigua kwa mantiki hiyo basi moyo unaweza kuupangia maana wenyewe hauhusiki kwenye kupenda bali kuProject kile Ubongo unakisikia. Ukiweza kuikontrol akili basi unaweza kukontrol moyo kwenye suala la mapenzi.
Njia moja wapo kukontrol akili ni Stoicism.. kama utakua tayari utaniambia niongelee hiyo Stoicism
 
Sahihi sana

Sio upumbavu,it's a human nature,wewe sio robot,usijifsnye super man,there is no such a thing as "super man"
We are just being human,and getting hurt is part of being human

𝐇𝐢𝐯𝐢 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐮𝐦𝐞𝐬𝐡𝐚𝐰𝐚𝐡𝐢 𝐤𝐮𝐛𝐚𝐦𝐛𝐢𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐦𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐭𝐮 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐡𝐚𝐫𝐚𝐟𝐮 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐡𝐮𝐝𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐯𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐬𝐡𝐚 𝐮𝐤𝐚𝐣𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐞𝐰𝐚 𝐮𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐦𝐜𝐡𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐢𝐥𝐞 𝐦𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐬𝐢𝐨 𝐲𝐚𝐤𝐨,
𝐀𝐜𝐡𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐧𝐠𝐞𝐚 𝐯𝐢𝐭𝐮 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐯𝐢𝐥𝐞 𝐧𝐢 𝐬𝐢𝐦𝐩𝐥𝐞 𝐬𝐢𝐦𝐩𝐥𝐞 𝐭𝐮,
𝐇𝐚𝐮𝐣𝐮𝐢 𝐦𝐚𝐮𝐦𝐢𝐯𝐮 𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐡𝐮𝐬𝐢𝐚𝐧𝐨 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐧𝐲𝐚𝐧𝐲𝐮𝐚 𝐦𝐤𝐨𝐧𝐨 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐚 𝐯𝐢𝐭𝐮,
Nyie mnasema hivyo na mnaona haiwezekani maana You're succumbing and starving with to be loved. Mimi sina Emotions coz The more you love, the more you're weak anf you'll be hurt
Mimi sina hisia.. sipendi,sipendeki,sipendwi

And that's a Okay-Dokey on me
 
Huna tofauti na mgonjwa
 
Naonaga mapenzi si kwaajili yangu mana mara nyingi ni mwendo wa kupigwa na vitu vizito tu.
Nishazoea kiasi kwamba naweza kaa hata mwaka nipo single hasa nikitoka kuumizwa hivo naupa moyo wangu muda wa kupona na kufanya mambo mengine.
Nilichogundua mapenzi ukiyaendekeza sana unajikuta mtumwa hivo muda mwingine unajitoa ufahamu.
Pole sana feity... penda unapoona unapendwa unconditionally. Sometimes wanawake nyie mnaharibu wenyewe mnapokua na mtu ajili ya material things 😣
 
Back
Top Bottom