Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #301
Ahaha wanaopendana inakuwa nini mkuu ?
Funguka kidogo ndugu
LOVE IS FATE, sio kila mtu yupo endowed with love. Wapo wachache tu ndio wenye bahati hiyo ila wengi hawayapati mapenzi hayo ambayo ni muhimu kwa maisha yao. Watu wamebarikiwa uzuri wa sura na umbo, roho safi na LOYALTY ya kiwango cha hali ya juu lakini hawapati mapenzi/upendo kama wanavyotakiwa kupata, pengine hawapati kabisa. Hapo sasa ndio mtu anaanza kujiuliza shida nini wakati kila kitu anacho ila upendo wa kweli hapati. Its sjust a simple spell, love is fate.
Kama fate yako sio kupata mapenzi huwezi pata mapenzi hata ufanyaje utaishia kuroga na kuhonga sana ila utaishia kuyakosa. Ive just realize that some people are born to get all the love in the world and the rest of us we get nothing!! Je hii ndio fate yao? Kwamba tuwe wasindikizaji?why don’t we worth it? How to worth it?
Look! Watu wapo wengi wamejaliwa upendo wa kweli na uaminifu mkubwa but hawapati mapenzi yale yanayolingana na thamani ya penzi walilonalo..maisha yao yote wanaishia kulia na kuteswa na mapenzi..maisha ni kitu cha ajabu vitu vizuri vizuri hua wanapata wale wasiostahili kuvipata maana hawajaui thamani ya vitu hvyo ila wale wanaostahili kupata vitu vizuri kama wao wanaojua kuthamini vitu vizuri hawavipati. Wanabaki katika dimbwi la upweke na majonzi kwa kupata yale wasiyo stahili pengine hawapati kabisa.
Ndugu tambau kwamba upendo ni kitu muhimu sana kwa mwanadamu lakini pia jua love I fate sio kila mmoja anaweza kupata upendo ule anaohitaji ama naufikiria kuupata maana hata ukiuupata bado fte itakuwinda na kukunyanganya furaha ya penzi lako. Kama uko fated to be solo and sorrow for the life time jaribu kukubali hiyo hali kwamba ndio hali yako halisi japo inauma. Just stop to be emotional overthings you can’t control, it’s your time to be happy coz everyone deserve happiness.