Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Bora niwe pekee angu mimi, bora niwe pekee angu
 
Ni kweli ndugu sasa huwa nafikiria naweza nkasema nikaze afu nikaambuliaa patupuu though inaweza ikawa ananitest uvumilivu wangu ukojeeee.... Na in short dogo ni mkali yani kama unavojua Toto za kichaga ana kababy face Fulani hivi ,sema Yale maeneo mengine hakuna sana ila mie sio Mdau sana wa chura, akili nyingine inaniambia nikomae hadi mwisho nione inakuwajee though suala LA kumtext kwa sasa nastop kwanza sabab sipendi kuwa blue ticked kwangu ni bonge ya dharau

Yeye weakness yake ukimface ana kwa ana anakuwa mdogo na hawi comfortable so nasubiri chuo kifunguee nijarbu mface moja kwa moja

Au unasemaje ndugu
Mkuu tupe feedback
 
Nipo kwenye hii situation kwa Sasa kwa kweli inahitaj nguv ya ziada kumpotezea mtu unaempenda kwa dhati nimeshajaribu kumpotezea Mara mbili nashindwa narud Tena nyuma Hadi najihis mpumbavu namb zake zpo kichwan nammiss lkn yey han mda na mim inaumiza
Polee mkuu
 
Back
Top Bottom