Mr Tyang
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 1,728
- 6,806
Ndugu Ukiona unafanyiwa hivi jua hakuna upendo hapo Bali unaonekana msumbufu na mpumbavu juu ya huyo unae ng'ang'ana kumpenda. 2020 uwe mwaka wa kuamuka vichwa vyote vilivyoinama kwenye Mapenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app