Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Mkuu mada nzuri sana nimeipenda.

Ila umechapia baadhi ya maneno, umepiga vyombo Nini? [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangia lini mapenzi yakashauriwa!!?tushauriane kwenye biashara tu na kumcha mwenyezi Mungu,full stop

Sent by Diaspora
 
Ujumbe muzuri na Safi Sana kwa kufunga mwaka 2019 lakini Wabongo walivyo na vichwa vigumu kuelewa utashangaa kuanzia tarh01 Jan 2020 Watakuja na thread lukuki za Mara Naumizwa Mara nahisi kukataa tamaa ya maisha kisa huyu mpenzi wangu, Mara Wanaume wote Ni mbwa na mapovu ya kila Aina yanayohusu mapenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…