Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

We jamaa hujawahi kupenda
mmmhhh no no no si eti hajawai penda, ni vile hajawai kuwa mjinga huko akifikiria ujinga na kupenda ni kitu moja, watu wengi ni ujinga wako nae sio pendo
 
Umeandika vizuri sana ila tambua tu kwamba yooote uliyoyaandika yanatokana na wewe mwenyewe kukosa kujitambua.
Kukosa kwako kujitambua kumekufanya
1. Ushindwe kujijua
2. Ushindwe kuwajua wanaokuzunguka
3. Ushindwe kuchagua mtu/watu sahihi kufungamana nao
4. Ushindwe kujua unachostahili/thamani yako huijui.
5. Umeshindwa kujua daraja lako ni lipi

Haya matatizo utayamaliza kwa kujitambua tu. Hili somo liliifundishwa shule ya msingi kwa watoto wa darasa la sita na saba liliitwa "Stadi za Maisha" sijui kwa nini serikali iliamua kulifuta.

Sent using mazonge yamezidi
 
Hii mambo 2 ambayo ni ya muhimu kujua katika maisha, 1-umri(AGE) haifanyi mtu kuwa na kili au kuwa intelligent au smart, age inakufanya tu uwe mzee au uzeeke, na ndio unakuta mtu ako na 55 miaka na bado ako na ujinga wa ajabu, lakini unakuta kijana ako na 24 miaka lakini ako smart sana hata ndie anampa ajira yule wa 55 miaka, 2-usikubali kufanya mtu awe kipao mbele chako(YOUR PRIORITY) ila hali kwa yule mtu wewe ni moja au kimoja cha zitu(YOU ARE ONLY AN OPTION TO HIM OR HER) nafikiria wengi wamenielewa kile nimemaanisa hapa,
 
Very good bro, in life those who dont understand you DONT MATTER TO YOU, and those who DO MATTER UNDERSTANDS YOU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…