Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Ili ufikie hiyo stage ni lazima uwe umepitia heart breaks kadhaa.
word.Japo sio lazima.
ni either uwe sugu sanaa au mwerevu sana..ukiwa intermediate hapo katikati huwez kumudu.
 
mbona mawadah πŸ™‚ umenikumbusha mbali na hili neno asante.
 
Well said hakuna kisicho zoeleka
 
Mimi natamani kuwasilisha nawe ila nafasi hii sijaipata kwakweli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…