Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kwa nini?Chances za kuwekewa kitu ni almost negligible.... 0
Unafikiri kwa nini wengine wanakuwa na walinzi?Kama kila unachokula unahisi kuna mtu anataka kukuua, basi labda una paranoia au unaishi maisha yenye migogoro mingi sana na watu.
Mimi ninaenda mwenyewe anapakuwa namuona, matunda naenda kukata mwenyewe. Chunga!! Tena sana! Unaweza kuletewa makombo ya watu.Kumekuwa na uhitaji mkubwa wa kutuma watu, hasa wengi hutumia waendesha bodaboda, kuwaletea vyakula mfano; chipsi, nyama choma, vyakula vilivyopikwa, matunda yaliyo katwakatwa, juisi n.k na kuwaletea sehemu walipo, iwe nyumbani, maofisini n.k
Swali la kujiuliza, una uhakika gani kile ulichomuagiza kiko salama, hajaweka au hakijawekewa kitu chochote kile chenye kukudhuru wewe?
Kwa sababu, katika maisha kuna wafitini wengi, unaweza ukakwazana na mtu, na huyo mtu akaamua kumtumia yule unayemuagiza kukuangamiza.
Je, unamwamini vipi huyo unayemtuma atakuletea kitu kisichokuwa na madhara?
Ni wazi wanajihisi kuwa na maadui wengi ndio maana wanafanya hivyo.Unafikiri kwa nini wengine wanakuwa na walinzi?
Huwa humuagizi mtu akuletee?Mimi ninaenda mwenyewe anapakuwa namuona, matunda naenda kukata mwenyewe. Chunga!! Tena sana! Unaweza kuletewa makombo ya watu.
Ata kwenye ndoa, huisi kama kuna mtu anayeweza kumtamani mkeo akaamua kuweka mipango?Ni wazi wanajihisi kuwa na maadui wengi ndio maana wanafanya hivyo.
Mbaya wako akijua sehemu unayoagiza chakula atakumaliza.Kumekuwa na uhitaji mkubwa wa kutuma watu, hasa wengi hutumia waendesha bodaboda, kuwaletea vyakula mfano; chipsi, nyama choma, vyakula vilivyopikwa, matunda yaliyo katwakatwa, juisi n.k na kuwaletea sehemu walipo, iwe nyumbani, maofisini n.k
Swali la kujiuliza, una uhakika gani kile ulichomuagiza kiko salama, hajaweka au hakijawekewa kitu chochote kile chenye kukudhuru wewe?
Kwa sababu, katika maisha kuna wafitini wengi, unaweza ukakwazana na mtu, na huyo mtu akaamua kumtumia yule unayemuagiza kukuangamiza.
Je, unamwamini vipi huyo unayemtuma atakuletea kitu kisichokuwa na madhara?
Adui akitaka kukuharibia, hahitaji hata kutumia mkeo au chakula. Wabongo tunapenda sana script za tamthilia za kifilipino.Ata kwenye ndoa, huisi kama kuna mtu anayeweza kumtamani mkeo akaamua kuweka mipango?
Mzee mangula sema hii hali ya mashaka huwapata Wana CCMNi wazi wanajihisi kuwa na maadui wengi ndio maana wanafanya hivyo.
Kushikana tu mikono ilikuwa ni kipengele Mkuu.Mzee mangula sema hii hali ya mashaka huwapata Wana CCM
Ikafika mahali mpaka wakawa wanaogopa kuachiana maji haaaahaa ☺️
Waliolazwa hospital au walioko ukonga/segerea nao wanaenda kuona vyakula vinapikwa au kuungwa au kufungwa na kupelekewa walipo?Mimi ninaenda mwenyewe anapakuwa namuona, matunda naenda kukata mwenyewe. Chunga!! Tena sana! Unaweza kuletewa makombo ya watu.
Huwa unatumia mbinu gani kulikwepa hili?Mbaya wako akijua sehemu unayoagiza chakula atakumaliza.
Unajihami vipi na watesi wako?Adui akitaka kukuharibia, hahitaji hata kutumia mkeo au chakula. Wabongo tunapenda sana script za tamthilia za kifilipino.
Unakumbuka Kuna kipindi bungeni bungeni vilionekana vitu kama UNGA UNGA mweupe bungeniiKushikana tu mikono ilikuwa ni kipengele Mkuu.
Nikikata motoKula tu mkuu, hakuna jipya
Kama ni kuogopa makombo ya watu basi hutafanya kitu mkuu, kuanzia wenza wenu ni makombo ya wahuni,mitumba ni makombo ya watu, ndinga tunazozuga nazo kitaa nyingi ni makombo ya watu huko juu, basi sawa.Mimi ninaenda mwenyewe anapakuwa namuona, matunda naenda kukata mwenyewe. Chunga!! Tena sana! Unaweza kuletewa makombo ya watu.