King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hii thread AY mwenyewe akiiona ataona aibu!!AY kabaki mikwara tu kujifanya anadeal na nje ya bongo ila hana jipya la kufananisha na domo kimafanikio ya mziki!AY anatumia beseni kimziki anagain kisoda!shooting anafanya ya milioni tano hapati show...kipindi hiki domo tunwacheni tu hakamatiki
Domo hatari mpwa!anakosa elimu na ulimbukeni flani sasa hivi anataka kuleta unaweza ukamcost huu wa kuwarusha vicheche wake kina wema katika nyimbo utasema yeye ndo kawatoka bikira!!!!wakali wakimega wanapiga kimya yeye anapiga sana yowe yaani kama haamini kama kawagonga ngozi!Hahahahaaaa buyer face umetishaa AY anatumia nguvu Contena show kisoda!! Domond kwa sasa anafunika sana,kinachomuangusha Domo ni elimu tu ila akipata promota mwenye elimu ya kutosha kuweza kumvukisha boda basi Domond atakuwa mbali sana!!
Domo hatari mpwa!anakosa elimu na ulimbukeni flani sasa hivi anataka kuleta unaweza ukamcost huu wa kuwarusha vicheche wake kina wema katika nyimbo utasema yeye ndo kawatoka bikira!!!!wakali wakimega wanapiga kimya yeye anapiga sana yowe yaani kama haamini kama kawagonga ngozi!
Domo hatari mpwa!anakosa
elimu na ulimbukeni flani sasa hivi anataka kuleta unaweza ukamcost huu
wa kuwarusha vicheche wake kina wema katika nyimbo utasema yeye ndo
kawatoka bikira!!!!wakali wakimega wanapiga kimya yeye anapiga sana yowe
yaani kama haamini kama kawagonga ngozi!
Diamond kanunuwa Prado ya mtumba ya shilling millioni 20 na amepanga nyumba Sinza. wewe uanadhani kuna mafanikio tena zaidi ya haya?sasa si muweke hayo mafanikio ili tulinganishe?
Hii thread AY mwenyewe akiiona ataona aibu!!AY kabaki mikwara tu kujifanya anadeal na nje ya bongo ila hana jipya la kufananisha na domo kimafanikio ya mziki!AY anatumia beseni kimziki anagain kisoda!shooting anafanya ya milioni tano hapati show...kipindi hiki domo tunwacheni tu hakamatiki
TuacheHUSUDA na VIJIBA, Diamond asingekuwa na mafanikio wala tusingemuongelea hapa, Cha muhimu kama tunaona wapo waliomzidi yeye basi tumshauri afanye nini nae afike huko. tuwe "GREAT THINKERS" na sio "GREAT HATERS". Dogo anajitahidi ila tu aache utoto na aanze kujitambua mambo ya UKICHECHE na KUVUA NGUO hadharani ni kutokujitambua. Yupo mbali na aongeze bidii, kama kuna ya kujifunza kutoka kwa AY basi aombe ushauri.Diamond ana mafanikio gani? Nchii hii bana ina watu wana akili nyepesi kweli
Uzuri wa ay hapendi kujionyesha kama diamond ambae anashinda sinzaWatu Wengi Wamekuwa Wakimsifia Msanii Diamond Kuwa Ni Msanii Anayeongoza Kwa Mafanikio Hapa Tz Hili Linanifanya Nijiulize Maswali Bila Majibu Hivi Tunapo Zungumzia Mafanikio Ya Msanii Tunatumia Vigezo Gani Sikatai Diamond Ana Mafanikio Ila Unamjua AMBWENE YESSAYA (AY)ebu angalia mafanikio ya mshikaji alafu jiulize msanii gani kibongobongo anayemfikia.HII KAULI YA KUWA DIAMOND ANAWAFUNIKA WASANII WOTE HAPA TZ SIIPENDI ILA BASI TU.diamond ni msanii mzuri ila msilinganishe mafanikio yake na ya AY
Mimi nimewazd domo na ay