King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hii thread AY mwenyewe akiiona ataona aibu!!AY kabaki mikwara tu kujifanya anadeal na nje ya bongo ila hana jipya la kufananisha na domo kimafanikio ya mziki!AY anatumia beseni kimziki anagain kisoda!shooting anafanya ya milioni tano hapati show...kipindi hiki domo tunwacheni tu hakamatiki
Hahahahaaaa buyer face umetishaa AY anatumia nguvu Contena show kisoda!! Domond kwa sasa anafunika sana,kinachomuangusha Domo ni elimu tu ila akipata promota mwenye elimu ya kutosha kuweza kumvukisha boda basi Domond atakuwa mbali sana!!