Timu iko nyumbani lakini inazidiwa mashabiki na timu ngeni, uliona wapi hiyo zaidi ya tz?Sasa unataka mashabiki ulazimishe wapende na vilabu vingine ?
Timu inapendwa kutokana na performance yake uwanjani na namna inavyovutia mashabiki.
Kama Simba na Yanga zimekamata mashabiki wa nchi nzima hiyo inapaswa zipongezwe kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuvutia mashabiki.
Sasa hilo ni tatizo la Simba/Yanga au ni tatizo la timu mwenyeji kutovutia mashabiki ?Timu iko nyumbani lakini inazidiwa mashabiki na timu ngeni, uliona wapi hiyo zaidi ya tz?
Timu ya nyumbani kuishabikia haihitaji mvuto dhidi ya timu ngeni. Sidhani kama unaweza kuishabikia Argentina ya Messi dhidi ya Tanzania.Sasa hilo ni tatizo la Simba/Yanga au ni tatizo la timu mwenyeji kutovutia mashabiki ?
Sasa hilo ni tatizo la Simba ?Timu ya nyumbani kuishabikia haihitaji mvuto dhidi ya timu ngeni. Sidhani kama unaweza kuishabikia Argentina ya Messi dhidi ya Tanzania.
Ni tatizo la watu wanaojiita mashabiki wakati ni mashabiki uchwara. Mtu wa Namtumbo kuishabikia simba/ yanga dhidi ya Namtumbo united ni ushabiki uchwara.Sasa hilo ni tatizo la Simba ?
Unajua kuwa Manchester united ina mashabiki hapa Tanzania ?Ni tatizo la watu wanaojiita mashabiki wakati ni mashabiki uchwara. Mtu wa Namtumbo kuishabikia simba/ yanga dhidi ya Namtumbo united ni ushabiki uchwara.
Najua hilo ila hoja yangu haiendani na swali lako.Je Man u huwa ina mashabiki kuwazidi Everton , Norwich, West ham hata Brentford inapocheza ugenini? Sipingi yanga/simba kupendwa burundi.Unajua kuwa Manchester united ina mashabiki hapa Tanzania ?
Ni Swala au Suala Ndugu?Nilidhani ni mimi tu naiona shida, kumbe hata nyie mmekutana na hili swala
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Katika wachambuzi ambao wana uwezo mdogo ni huyu jamaa hua najiuliza anapataje chance za kuchambua kabumbu kwenye hizi radio zetu ila naona clouds FM walimtema maana uchambuzi wake ni hamna kitu