Dg aachane na hizi siasa za simba na Yanga hasa ukiwa mchambuzi na mwisho wa siku atajikuta kwenye kundi la wachambuzi ambao ni Takataka
Dg anajua sana tangu akiwa Ebony FM kule Iringa alikuwa anafanya kazi pale wakati anasoma chuo cha MUCE
Look at Ambangile huwezi jua jamaa ana mapenzi ya timu gani pale Kariakoo, na anazichambua hizi timu technically
Ila kuna hawa jamaa ni Yanga wakubwa kabisa ila ndo kwasababu Yanga hawafanyi vizuri ndo maana kidogo wamerudi nyuma
1.Shaffih dauda
2.Maulid kitenge
3.Oscar Oscar
4.Yusuph mkule
5.Edo kumwembe
6.Alex luambano
Hawa hapa ni simba
1.Ahmed Abdallah
2.Saleh jembe
3.Ahmed Ahmed
4.Jemedar Said
5.Ibarahim Maestro