Unamzungumziaje mchambuzi Geoff Lea

Unamzungumziaje mchambuzi Geoff Lea

Hajasema uongo jeff.

Simba na yanga zinajaza uwanja kwenye derby zao tu. Ama matamasha yao ya kufungua msimu.

Ama mechi kubwa sana ya ligi ya mabingwa africa.

Ila zaidi ya hapo hata nusu uwanja wa taifa haziwezi kujaza
Mkuu , ubaya ni kuwa alichocomment nikitafuta lengo lake lilikuwa nini sipati.
Maana jamaa anasema ligi ya Tanzania kuna fursa, watanzania waichangamkie. Mamlaka ziboreshe viwanja sababu Africa itakuwa inatazama.

Je kulikuwa na haja ya Chuki zake ( yeye anauita ukweli)

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Hiv mkuu wew unaamin wachambuz wa kibongo wachambuz wa kibongo hamna kitu n kwamba wamepata platform ya kuonekana na kusikika lakin hamna wanachojua kuhusu soccer wew unawazid n kwamba hujulikan na huna platform
 
Nimesoma hiyo comment yuko sahihi 100%

Simba na Yanga zinajaza uwanja wa Mkapa kwenye matukio mawili tu

1. Simba/Yanga Day
2. K/Koo Derby

Sisi mashabiki ndio tatizo hapa, kwanini uwanja hatujazi hata kwa 70% tunapocheza na timu kama Ihefu?
Nchi gani nyingine inafikia Tanzania kwa mashabiki ukiondoa 'South Afrika na Egypt?
 
una ushahidi kuwa clouds walimtema? Walioondoka clouds na kuhamia EFM walitemwa? Inawezekana mtu akawa na uwezo mdogo akaajiliwa DSTV kuwa mchambuzi wa soka? Tujifunze kuheshimu talanta za watu, amefika alipo kwasababu ya uwezo.
 
Nchi gani nyingine inafikia Tanzania kwa mashabiki ukiondoa 'South Afrika na Egypt?
Africa hakuna nchi yenye 'passion' na mpira kama Tanzania, makocha wengi wa kigeni kama Micho wamekiri.

Maoni yangu ingependeza kama viwanja vingekuwa vinajaa hata KMC ikicheza na Ruvu pale shamba la bibi.
 
Kuna kikundi cha waandishi kimeibuka, na wanapenda watambulike kama wasema kweli. Lakini kila nikitazama niuone huo ukweli siupati naona ni majungu na chuki tu.
Kwa leo tuanze na huyu GEOF LEA.

Huyu kijana sijui ana shida gani, ni mjuaji hakuna mfano.
Bwana Geof lea anaamini kuwa ukosoaji kila kitu ndio kuonesha wewe ni mwerevu na mjuvi wa mambo.

Msimu uliopita alitoa kauli kwamba, haoni simba akifika mahala na beki ile,Mungu si athumani Simba anamaliza makundi amefungwa Goli mbili tu.

Amefikia hatua ya kuanza kusema eti simba na yanga zinatumia Nguvu kubwa kujaza uwanja, na wala sio kwamba mpira unapendwa Tanzania.( hii akizipinga page na wachambuzi wa nje)

Yapo mengi juu ya huyu kijana, naamiini kama na wewe umekutana nayo utasema.
Kama bado hujaona unaweza fuatilia tweet zake.
NB:Hatukatai ukosoaji ila hatutaki Ujuaji.

View attachment 1947012
Huyu ni mchambuzi mbumbu kabisa,anajifanya kuchanganya kiingereza ili aonekane ana akili,lakini ni mpuuzi,mpumbavu na mbumbumbu wa hali ya juu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Post yake ina ukweli lakini ilibidi apige kimya.

Kwani kwa mkapa huwa kunajaa Simba au Yanga wakicheza na Gwambina?

Tutaanza kusema soka limeteka pale ambapo viwanja vitaanza kujaa bila kujali ni mechi gani.
 
Back
Top Bottom