pipikijiti
JF-Expert Member
- Apr 25, 2017
- 309
- 406
Habarini wakuu kunasafari ambayo inabidi nisafari mapema mwanzo mwa mwaka ujao nadhani itakuwa kati kati ya mwezi januari ambayo ntatoka dsm kwenda kusin mkoani ruvuma ila Cjawahi safiri umbali huo ( 1000km),umbali mrefu nilioenda mwenyew ni km 300
Sasa napendaga sana kusafiri na kagari kangu (grande mark ii) hiyo safari nitakuwa peke yangu,,,sihofii matatizo madogo madogo kama pancha coz tii hata mimi mwenyew naweza piga jeki na kubadili tairi peke angu ila kunajamaa alinishauri sio vzuri kutembea parefu hivyo peke yangu coz ikitokea kama ajari kidogo umezidiwa hakutakuwa na mtu hata wakupiga simu ,,,,
Sasa najua humu kuna watu wazoefu wakusafiri private basi ninaomba nijue uzoefu wenu katika kusafiri peke yako.asante