Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
Safari njema mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka hongera sana nakutakia safari njema mkuu.cha muhimu beba maji mengi na ya kutosha then pia tembea kulingana na vibao vinavyoelekeza then kama utaweza kuangalia gari hasa joint zote ziko poa sawa.Then nunua pump ya kujaza kwa kutumia umeme wa gari ambayo ni nzuri then sali kwa kulingana na imani yako mkabidhi Mungu Maisha yako maana unaweza ukaendesha vizuri wewe ila mwenzio ikawa rafu . Nakutakia Safari njema Mungu awe na weweHabarini wakuu kunasafari ambayo inabidi nisafari mapema mwanzo mwa mwaka ujao nadhani itakuwa kati kati ya mwezi januari ambayo ntatoka dsm kwenda kusin mkoani ruvuma ila Cjawahi safiri umbali huo ( 1000km),umbali mrefu nilioenda mwenyew ni km 300
Sasa napendaga sana kusafiri na kagari kangu (grande mark ii) hiyo safari nitakuwa peke yangu,,,sihofii matatizo madogo madogo kama pancha coz tii hata mimi mwenyew naweza piga jeki na kubadili tairi peke angu ila kunajamaa alinishauri sio vzuri kutembea parefu hivyo peke yangu coz ikitokea kama ajari kidogo umezidiwa hakutakuwa na mtu hata wakupiga simu ,,,,
Sasa najua humu kuna watu wazoefu wakusafiri private basi ninaomba nijue uzoefu wenu katika kusafiri peke yako.asante
Mbona kauli ya kichawi hii mkuuSubiri ya kifo basi
Duuh mkuu sawa ila sijapata mtu sasa
Kama chombo kipo vzr,na hauogopi tochi (speed monitor )za polisi wetu,safiri mchana,mwendo wa kitarihi,Habarini wakuu kunasafari ambayo inabidi nisafari mapema mwanzo mwa mwaka ujao nadhani itakuwa kati kati ya mwezi januari ambayo ntatoka dsm kwenda kusin mkoani ruvuma ila Cjawahi safiri umbali huo ( 1000km),umbali mrefu nilioenda mwenyew ni km 300
Sasa napendaga sana kusafiri na kagari kangu (grande mark ii) hiyo safari nitakuwa peke yangu,,,sihofii matatizo madogo madogo kama pancha coz tii hata mimi mwenyew naweza piga jeki na kubadili tairi peke angu ila kunajamaa alinishauri sio vzuri kutembea parefu hivyo peke yangu coz ikitokea kama ajari kidogo umezidiwa hakutakuwa na mtu hata wakupiga simu ,,,,
Sasa najua humu kuna watu wazoefu wakusafiri private basi ninaomba nijue uzoefu wenu katika kusafiri peke yako.asante
Asante mkuu umeongea kwa busara sana na umenipa wazo la pump ya umeme na sikuwazia hilo coz nategemeaga spare tyre na gari nilazima nilikagaue kabla ya safari na gari bado iko vzuri .asante sanakaka hongera sana nakutakia safari njema mkuu.cha muhimu beba maji mengi na ya kutosha then pia tembea kulingana na vibao vinavyoelekeza then kama utaweza kuangalia gari hasa joint zote ziko poa sawa.Then nunua pump ya kujaza kwa kutumia umeme wa gari ambayo ni nzuri then sali kwa kulingana na imani yako mkabidhi Mungu Maisha yako maana unaweza ukaendesha vizuri wewe ila mwenzio ikawa rafu . Nakutakia Safari njema Mungu awe na wewe
Asante mkuuSafari njema mkuu
Asnte mkuu hata mimi niliwazo hivyo hivyoIla nashauri usisafiri usiku. Ukipata dharula utakosa msaada wa haraka. Unaweza kutoka alfajiri sana. Usiku una hatari nyingi
Oky mkuu asante kwa ushauri huoNenda stand ya Mabus yanakoenda huko, tafuta mtu presentable mwenye muonekano mzuri then mpe lift, huna haja ya kum charge, na vyema kama wasafari kesho unaenda leo, ila awe mtu wa kueleweka, wakati wa kurudi hivyo hivyo...... 1000KM bila mtu wa kusemesha sio mchezo.
Unachosema ni kwel mkuu usiku mwanga sio wa kutosha na hata kama mbele hasa kwenye kona kuna lori limepata ajari limeziba barabara basi unaweza ukalipandaHATA MIMI NAKUSHAURI USISAFIRI USIKU. MAANA HATA UKIANGALIA MBELE WAKATI WA USIKU HUONI SANA KAMA MCHANA. KAMA WENGINE WALIVYOCOMMENT MCHANA UNAPATA MSAADA KULIKO USIKU.PIA KUMBUKA WAHENGA WALISEMA "WAWILI NI WAWILI TU" KAMA UTAPATA WA KWENDA NAYE NI BORA ZAIDI.
kaka uwe na amani usiamini gari yoyote. Nenda kafanye overall check then ingia barabarani na ukiwa smart nenda opposite na trafic. mathalani ondoka saa tisa anza safari maana wengi hupenda kuanza saa kumi na moja hivyo utapata mda mzuri wa kuendesha without pressure.Mimi pekee nategemea kwenda kuhesabiwa ila nitaondoka opposite na wengine maana mwaka jana kuna vijana wajinga walinikosa kwa sababu walikuwa wanashindanaAsante mkuu umeongea kwa busara sana na umenipa wazo la pump ya umeme na sikuwazia hilo coz nategemeaga spare tyre na gari nilazima nilikagaue kabla ya safari na gari bado iko vzuri .asante sana
Kama Mara ya kwanza jitahid sana usifunge vioo vya gari itakusaidia kujua gari inatembea kwa speed gani na wote walio kufa kwenye ajari wakiwa na magari binafsi walifunga vioo kwahiyo waliona gari kama haikimbii na kuongeza speed zaidi siku njema[/
hii ina ukweli mkuu,akiwa vizuri ili asilale awashe AC hadi Mwisho
Oky sawa mkuu kuhusu gari Limetimia i mean bima,stika,fire extinguisher,tairi isiovipara,rangi haijachoka,na speed huwa sipendelei sana,,,na hawa polisi wetu nikuongea nao tu mkuuKama chombo kipo vzr,na hauogopi tochi (speed monitor )za polisi wetu,safiri mchana,mwendo wa kitarihi,
Mzee hujaitendea haki gari hii, Inaitwa GRANDE MARK II SIX CYLINDER, na huwa ina tabia ya kupuliza FUUUUU ukikanyaga mafuta. Mzee chuma unacho hii gari ni kiboko. Mimi nilikuwa nayo tena Manual, Dar Mwanza utafikiri umepnda ndege. mabasi haya ya mikoani unayapita kama yamesimama. Kipindi hicho Manyoni Singida mpaka kwenye daraja ilkuwa vumbi, walikuwa wanaita PODA, kilometre kama 40 hivi unatumia masaa matatu, mpaka wheel cap zilichomokaHabarini wakuu kunasafari ambayo inabidi nisafari mapema mwanzo mwa mwaka ujao nadhani itakuwa kati kati ya mwezi januari ambayo ntatoka dsm kwenda kusin mkoani ruvuma ila Cjawahi safiri umbali huo ( 1000km),umbali mrefu nilioenda mwenyew ni km 300
Sasa napendaga sana kusafiri na kagari kangu (grande mark ii) hiyo safari nitakuwa peke yangu,,,sihofii matatizo madogo madogo kama pancha coz tii hata mimi mwenyew naweza piga jeki na kubadili tairi peke angu ila kunajamaa alinishauri sio vzuri kutembea parefu hivyo peke yangu coz ikitokea kama ajari kidogo umezidiwa hakutakuwa na mtu hata wakupiga simu ,,,,
Sasa najua humu kuna watu wazoefu wakusafiri private basi ninaomba nijue uzoefu wenu katika kusafiri peke yako.asante
Oky sawa mkuu asante kwa ushaurikaka uwe na amani usiamini gari yoyote. Nenda kafanye overall check then ingia barabarani na ukiwa smart nenda opposite na trafic. mathalani ondoka saa tisa anza safari maana wengi hupenda kuanza saa kumi na moja hivyo utapata mda mzuri wa kuendesha without pressure.Mimi pekee nategemea kwenda kuhesabiwa ila nitaondoka opposite na wengine maana mwaka jana kuna vijana wajinga walinikosa kwa sababu walikuwa wanashindana