Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa. Hakikisha umepiga chupa moja ya Azam/ Mo Energy au Redbull kabla ya safari na baada ya masaa manne hivi piga 'kichupa' kingine. Hii itakusaidia kukuondolea uchovu na usingizi pia.Sawa mkuu asante kwa ushauri hakika nitaufanyia kazi nilale njiani coz sijawahi tumbea umbali huo,,na spidi ntazngatia pia mkuu
We unahis pancha kwa hiyo gari ina tair peke yake matatizo yako mengi kwenye gari usitembee peke yakoHabarini wakuu kunasafari ambayo inabidi nisafari mapema mwanzo mwa mwaka ujao nadhani itakuwa kati kati ya mwezi januari ambayo ntatoka dsm kwenda kusin mkoani ruvuma ila Cjawahi safiri umbali huo ( 1000km),umbali mrefu nilioenda mwenyew ni km 300
Sasa napendaga sana kusafiri na kagari kangu (grande mark ii) hiyo safari nitakuwa peke yangu,,,sihofii matatizo madogo madogo kama pancha coz tii hata mimi mwenyew naweza piga jeki na kubadili tairi peke angu ila kunajamaa alinishauri sio vzuri kutembea parefu hivyo peke yangu coz ikitokea kama ajari kidogo umezidiwa hakutakuwa na mtu hata wakupiga simu ,,,,
Sasa najua humu kuna watu wazoefu wakusafiri private basi ninaomba nijue uzoefu wenu katika kusafiri peke yako.asante
1st time nilisafirisha trekta kutoka Dar kwenda Kisaki- Morogoro, nilitoka Dar saa 5 Usk nilifika saa 10jion bila ya kupmzka.. 2. 10/2017 Nilisafirisha Trekta nyngne Swaraj 855Fe kutoka Dar mpk Mlimba( kutoka ifakala mjini mpk mlimba ni masaa 6 kwa Noah) nilitumia Siku 3 na nilipumzk Masaa 8 tu nilipita mikumi SAA 2 usiku....! Kabla ya hapo nilizoea kuendsh 30km tu... Xo unawez ukiamua ila kama ni mdhaifu wa usingz.. Husitembee pk yako...Habarini wakuu kunasafari ambayo inabidi nisafari mapema mwanzo mwa mwaka ujao nadhani itakuwa kati kati ya mwezi januari ambayo ntatoka dsm kwenda kusin mkoani ruvuma ila Cjawahi safiri umbali huo ( 1000km),umbali mrefu nilioenda mwenyew ni km 300
Sasa napendaga sana kusafiri na kagari kangu (grande mark ii) hiyo safari nitakuwa peke yangu,,,sihofii matatizo madogo madogo kama pancha coz tii hata mimi mwenyew naweza piga jeki na kubadili tairi peke angu ila kunajamaa alinishauri sio vzuri kutembea parefu hivyo peke yangu coz ikitokea kama ajari kidogo umezidiwa hakutakuwa na mtu hata wakupiga simu ,,,,
Sasa najua humu kuna watu wazoefu wakusafiri private basi ninaomba nijue uzoefu wenu katika kusafiri peke yako.asante
Habarini wakuu kunasafari ambayo inabidi nisafari mapema mwanzo mwa mwaka ujao nadhani itakuwa kati kati ya mwezi januari ambayo ntatoka dsm kwenda kusin mkoani ruvuma ila Cjawahi safiri umbali huo ( 1000km),umbali mrefu nilioenda mwenyew ni km 300
Sasa napendaga sana kusafiri na kagari kangu (grande mark ii) hiyo safari nitakuwa peke yangu,,,sihofii matatizo madogo madogo kama pancha coz tii hata mimi mwenyew naweza piga jeki na kubadili tairi peke angu ila kunajamaa alinishauri sio vzuri kutembea parefu hivyo peke yangu coz ikitokea kama ajari kidogo umezidiwa hakutakuwa na mtu hata wakupiga simu ,,,,
Sasa najua humu kuna watu wazoefu wakusafiri private basi ninaomba nijue uzoefu wenu katika kusafiri peke yako.asante
Duuh mkuu sawa ila sijapata mtu sasa
Safari ndefu unaweza kuenda.. Kikubwa usikimbie kuwa na goals.. Utaenda wapi mpaka wapi kwa muda gani.. Huwa ndio nafanya hivyo.. Inanisaidia nisiende mbio au nisiende taratibu sana inaset uchovu mwingi.Duuh mkuu sawa ila sijapata mtu sasa
Dah! Umetoa ushauri wa muhimu sana!Poa basi hakikisha unapumzika Lindi alafu next day uendelee na safari. Najua umbali huo ni mrefu sana. Nimeshawahi kuendesha safri ndefu kama za Mza to Dar inafika kipindi unachoka kiasi kwamba hata jicho halitaki kuangalia mbele tena. So ni vyema ukapumzika njiani. Taratibu taratibu utakapozoea basi utakuwa unaweza kuunganisha safari. Pia hakikisha spidi yako haivuki mia. Ukikimbia wastani wa spidi mia, ndani ya masaa saba utakuwa umesafiri kilomita mia tano. So haina haja sijui ya kukanyaga kibati mpaka ifike 180! Huko ni kuhatarisha usalama wako na wa watu wengine. Slow slow but surely utafika salama.
Safari ndefu unaweza kuenda.. Kikubwa usikimbie kuwa na goals.. Utaenda wapi mpaka wapi kwa muda gani.. Huwa ndio nafanya hivyo.. Inanisaidia nisiende mbio au nisiende taratibu sana inaset uchovu mwingi.
Usitumie Ac.. Huwa naona haina haja kama unatembea zaidi ya 80km/h ukionanguvu inapungua kaa nyuma ya gari.jingine au hata Lori.. Nenda nalo taratibu.
Safii.. Hata ivyo kusafiri kwa masaa nane inaonekana ulikuwa unapepea...Juzi nimesafiri kutoka Arusha kuja Dar usiku kuanzia saa 6 ili nikwepe matrafiki.
Safari ilikuwa ndefu lakini nilifanikiwa kufika Dar salama kwenye majira ya saa 2 asubuhi.
Inawezekana kabisa kusafiri umbali huo peke yako ila unakuwa mpweke sana. Vizuri kuwa mtu pembeni lakini usitoe lift kwa mtu ambae humjui vizuri, kwakuwa akiwa mtu hamuendani kimaongezi hiyo safari itakuwa ndefu zaidi kimawazo.[/QUOTE][QUOTE="pipikijiti
Mkuu nilipepea kweli......Gari ninalotumia linanipa confidence sana barabarani. Maombi pia yanafanya nijiamini. Na tahadhali vilevile.Safii.. Hata ivyo kusafiri kwa masaa nane inaonekana ulikuwa unapepea...