Unanishaurije kusafiri peke yangu safari ya km 1000

Unanishaurije kusafiri peke yangu safari ya km 1000

Kama Mara ya kwanza jitahid sana usifunge vioo vya gari itakusaidia kujua gari inatembea kwa speed gani na wote walio kufa kwenye ajari wakiwa na magari binafsi walifunga vioo kwahiyo waliona gari kama haikimbii na kuongeza speed zaidi siku njema
Asante mkuu
 
Hii gari huwa siisahau ninapoikumbuka huwa inaniuma sana, nilikuja nikanyanganywa tu kwa nguvu na watu, unyonge kitu kibaya sana. Ilinyang'anywa makusudi na watu ikabidi niwaachie. Unajua kuna KUIBIWA na KUNYANG;ANYWA?. Kuibiwa na kunyang'anywa ni vitu viwili tofauti[/QUOTE]

Mkuu embu tuambie ilikuaje mpaka UKANYANG'ANYWA..?
 
Kama Mara ya kwanza jitahid sana usifunge vioo vya gari itakusaidia kujua gari inatembea kwa speed gani na wote walio kufa kwenye ajari wakiwa na magari binafsi walifunga vioo kwahiyo waliona gari kama haikimbii na kuongeza speed zaidi siku njema
Speed gauge haiwezi kumuonesha speed anayokwenda nayo?
 
Poa basi hakikisha unapumzika Lindi alafu next day uendelee na safari. Najua umbali huo ni mrefu sana. Nimeshawahi kuendesha safri ndefu kama za Mza to Dar inafika kipindi unachoka kiasi kwamba hata jicho halitaki kuangalia mbele tena. So ni vyema ukapumzika njiani. Taratibu taratibu utakapozoea basi utakuwa unaweza kuunganisha safari. Pia hakikisha spidi yako haivuki mia. Ukikimbia wastani wa spidi mia, ndani ya masaa saba utakuwa umesafiri kilomita mia tano. So haina haja sijui ya kukanyaga kibati mpaka ifike 180! Huko ni kuhatarisha usalama wako na wa watu wengine. Slow slow but surely utafika salama.
Ushauri mzuri,ila mm nikienda taratibu ndio nachoka na naweza kusinzia.
Kweli kila mtu na uzoefu wake.
 
Nenda stand ya Mabus yanakoenda huko, tafuta mtu presentable mwenye muonekano mzuri then mpe lift, huna haja ya kum charge, na vyema kama wasafari kesho unaenda leo, ila awe mtu wa kueleweka, wakati wa kurudi hivyo hivyo...... 1000KM bila mtu wa kusemesha sio mchezo.
Mkuu usimshauri hii kitu ni hatari sana..
Usi mbebe mtu usie mjua hata kama anaonekana malaika kwenye macho yako. Never
 
Hizo 1000km Naziua kwa pikipiki...
 
Uzoefu wangu kwenye safari ndefu ni kujipanga kimawazo na kukata vipandevipande vya urefu wa safari.

Mfano kama ukipita ya Iringa, wazia dar-moro kwanza. Ukifika moro, wazia moro-mikumi. Ukifika mikumi, wazia rwaha mbuyuni hivyohivyo mdogomdogo kitonga, ilula, iringa(ipogolo), mafinga, makambako, njombe, madaba mwisho utastukia uko Songea.

Muhimu katika kila point unayofikia ujitathmin kama bado uko na energy sio lazima usimame. Ila ukihisi mawenge pumzika kidogo. Usingizi wa nusu saa unakuwezesha kabisa kuendesha hata masaa 6 tena bila wenge.

Muhimu kuliko yote. Ukihisi dalili ya usingizi, usilazimishe kuendelea au sijui kunawa, tafuta sehem salama park gari ulale kati ya nusu saa au Saa nzima ukipenda.

Safari njema ndugu
 
Mkuu Mark ii grande ulale njiani kwa km 1000??? Masikhara hayo. Mimi safari yangu ya kwanza nje ya Dar kwenda Iringa na kiMark x changu nimetoka saa moja Iringa nipo saa tano na nipo peke yangu.

Hakikisha tu gari yako iko vizuri, tairi, brakes, fanbelt na vikorombwezo vingine. Pia fungua madirisha kidogo ili usije ukasinzia.
CHA MUHIMU ZAIDI KUWA NA NIDHAMU BARABARANI, uwe unakimbia na gari au unatembea taratibu, nidhamu yako ndo salama yako. Epuka kuovertake ovyo.

Naamini by saa kumi au tisa utakuwa Ruvuma ukitoka Dar saa 12.
 
Mkuu usimshauri hii kitu ni hatari sana..
Usi mbebe mtu usie mjua hata kama anaonekana malaika kwenye macho yako. Never

I tried before and it went well, so, I think ur right!!!! nakubaliana na wewe mkuu!
 
Ukifika jiandae miguu kuvimba na kuuma pamoja na mabega waweza hisi hilo gari ulilibeba mgongoni vilee.
 
Mkuu hapa MASASI mabasi yanaanza kuingia SAA 9 kutoka dar,sasa wewe na huyo mnyama ukianza safari SAA kumi alfajili hapa so utaingia SAA 8kwa mwendo wa kawaida na kupumzika.Hivyo unaweza kulala au kunyooka kabisa,ila zingatia kipande cha MASASI ....songea kuna malori mengi ya dangote ambayo yako rafu sana.By the way hongera kwa kwenda kijijini kwenu na gari binafsi,asikuambie MTU kuna raha yake hasa ukiwa MTU wa misifa .haaaaaa
 
Bro usiogope hapo pakawaida tu,piga gia,kwanza ukiwa peke yako huwez kusinzia kama mkiwa wawili,kama nilitoka boda ya burundi kupitia manyovu na vitz old model,saa 11 alfajiri nikatoboa dar saa nane usiku,peke yangu mapori yte utashindwa hapo karib tu bhaana na gar yko kubwa kuliko vitz?? Hakikisha tu hupakii pakii watu usiowafaham njiani


Mkuu wewe uko kama mimi! One man army! Juzi tu hapa nimetembea KM 1600, though huku double lanes inasaidia no worries za kupishana!
 
Back
Top Bottom