“Unaoa lini?” Ni swali lililoulizwa sana jana Uchagani

Ni moja ya swali la kipimbi kabisa kuulizwa,mbaya zaidi mara nyingi linaulizwa na either ndugu wa mbali sana ambao huwajui ama huna mazoea nao ama majirani tu ambao kimsingi wote hao haiwahusu

I mean...unataka kujua naingia kwenye ndoa lini ili ikusaidie nini?
 
Watu wakikuuliza utaoa au kuolewa lini utasema haiwahusu wakuache na maisha yako, lakini watu hao hao wakikukuta njiani usiku labda umepata ajali unahitaji msaada wa kupelekwa hospital ili kuokoa maisha yako, wakaamua kukuacha kwavile maisha yako hayawahusu. Jamii itawaonaje hao watu?
 
Sidhani kama kuna uhusiano wa ulichoandika

Kuna utofauti kati ya kuingilia mipaka ya maamuzi ya mtu binafsi na kutoa msaada wa kibinadamu

Kuuliza au kushinikiza mtu aingie kwenye ndoa ni kuingilia maisha yake binafsi kwasababu sidhani kama kuna mtu anadhurika kwa namna yoyote fulani asipofunga ndoa
Kumsaidia mtu aliyepata ajali ni kuokoa uhai wa mtu, haihusiani na kuingilia maisha yake
 
Watu wakikuuliza utaoa au kuolewa lini utasema haiwahusu wakuache na maisha yako, lakini watu hao hao wakikukuta njiani usiku labda umepata ajali unahitaji msaada wa kupelekwa hospital ili kuokoa maisha yako, wakaamua kukuacha kwavile maisha yako hayawahusu. Jamii itawaonaje hao watu?

Mkuu maisha huwa hayatambui umeoa au haujaoa n.k

Issue ya kupata ajali , na kupata msaada imekaa kiutu zaidi na sio ndoa n.k

Watu wengi hapa Tanzania wamekuwa wakiichukulia ndoa Kama sehemu ya kukupa usalama

Utasikia maneno Kama

Ukiumwa je ?
Ukipaga ajali je ?
N.k

Mambo Kama haya yanakufanya kukupa pressure na kuamua kuoa au kuolewa .

Na hata ukiwa hauna mtoto utaambiwa the same stuffs

Ila Maisha generally ni kitu cha uhalisia .

Usipoweka misingi imara ya Ku-secure Future yako n.k , na ukabaki kutegemea watoto na ndoa

Ujiandae kuja kuteseka na kuumia Sana.

Watoto
Ndoa
N.k sio BIMA ya MAISHA
 
Back
Top Bottom