Wewe bado upo upo kama mwanaFAMimi huwa nawajibu mwakani,,ikifika mwakani nasema tena mwakani
Kuna watoto wengi wanahitaj watu wa kuwahita mama ama baba.Si ndio jamani, dunia lazima ijae.
Ukifeli utawasikia. Alizani kuoa ni jambo lepesi… kiko wapi? WalimwenguHilo ndo tatizo wanauliza unaoa lini wakati hata hali yako ya kiuchumi hawaijui!!!
Wachukueni basi.Kuna watoto wengi wanahitaji watu wa kuwaita mama ama baba.
nikikosa mtu sahihi nitachukua hao ila sioi empty tinWachukueni basi.