Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Huwezi kuishi kwa amani, lazima uteseke kama sisi. Hivyo acha janja janja oaaa🤣🤣Mtu wakikuona unakula vizuri unalala vizuri basi lazima wakuulize kuoa , hawataki uishi vizuri😅
Huwezi kuishi kwa amani, lazima uteseke kama sisi. Hivyo acha janja janja oaaa🤣🤣Mtu wakikuona unakula vizuri unalala vizuri basi lazima wakuulize kuoa , hawataki uishi vizuri😅
🤣🤣🤣 utapata dhambi kuita malaika wahaini.Wahaini nyie
Mimi hainishangazi wewe kutokuoa hadi umri huu kinanishangaza ni hao wanaokuuliza mpaka umri huo kwamba utaoa lini wana akili gani?Pia mimi ninapitia hayo masaibu nina miaka 45 na sijaoa,kila nikienda mkoani huwa waniuliza "mwali utaleta lini",huwa nakosa cha kujibu mpaka sai nimeamua kutokwenda mkoani.
Kila mtoto huja na sahani yake jamani. Hebu ijazeni dunia, msiwategee wenzenu.Kuna watu kibao wameoa na kuzaa kwa fashion kwa sababu jamii imewalazimisha.
Matokeo yake watu wengine , tofauti kabisa na wazazi hao, wanapata mzigo wa kulea na kusomesha.
Jamii ingewaacha hao wazazi wa kulazimishwa wawe huru pengine wasingeoa wala kuzaa na kuleta watoto duniani bila mpango.
Watu wanalazimisha watu wengine kuoa na kuzaa utafikiri watawasaidia kulea na kusomesha vile.
Acha tu niipate hiyo dhambi🤣🤣🤣 utapata dhambi kuita malaika wahaini.
Wewe unafaidika nini na kumshauri?Mimi kumshauri ww inakuhusu nini
Dipresheni hizo.Acha tu niipate hiyo dhambi
WahainiDipresheni hizo.
Ilitakiwa uunge mkono hoja!!Maswali ya hivi wakati mwingine yana madhara
1. Mtu kuingia kwenye ndoa isiyo sahihi kwa kufosi ndoa na mtu asiye sahihi
2. Single parents wengi ni zao la haya maswali
Kama hayupo kwenye ndoa na mkamtafsiri kama muhuni hizo ni shida zenu,kila mtu aishi anavyoweza
Acheni kuwa majaji wa maisha ya wengine mkuu,hamjengi bali mnabomoa kwa asilimia nyingi tu
Sasa ona hoja imeletwa mezani...nimecomment mawazo yangu....wewe umetoka ulipotoka unanijaji kama ''mbabe''
Haya hebu nipangie nilitakiwa kukomenti vipi ili nisionekane mbabe?
You are the one who's into my business ....if you minded your business usingerukia comment yanguWewe unafaidika nini na kumshauri?
Why don’t you mind your business. Ushauri keep for yourself
Swali la utaoa/olewa lini mara nyingi linaibua hisia za hasira kwa mtu anaeulizwa hili swali sababu wengi ambao hawajaoa/olewa in their 30's sio kwamba wanapenda kuishia bila ndoa, watu wengi tuna struggle sana kupata wenza wa maana wa maisha.You are the one who's into my business ....if you minded your business usingerukia comment yangu
Sahihi kbsa mkuuKuna umri ukifika hili swali huwezi kulikwepa na inabidi ukubaliane nalo huwezi kusema watu wakuache na maisha yako, katika hatua za maisha ya mwanadamu ndoa ni moja ya hatua muhimu sana. Ni vile siku hizi maadili yamepungua watu wanapuuzia
Ila Kiranga Bana😅Kwani kila asiyeoa anapata mtoto? Hivi hujui kuna watu hawataki ndoa na pia hawataki kuzaa au kuzalisha?
Uhuru wa mtu binafsi kwenye mambo yake binafsi ni muhimu sana.
Na si lazima kila mtu ajali ustawi wa jamii, taifa, uongozi bora kwa jinsi unayofikiria wewe.
Mfano, ikiwa kazi ya kugundua dawa ya kansa inataka mtu ayatumie maisha yake yote kuitafuta, asijiingize kwenye kuoa wala kuzaa, na mtu akifanya hivyo, mpaka akapata dawa ya kansa ambayo itaifaidisha dunia nzima, kwa yeye kutooa au kuolewa na kutokuwa na mtoto, huyo naye utamlaumu kuwa hajaoa au kuolewa na hivyo hajathamini ustawi wa jamii, taifa wala uongozi bora?
Unaelewa kuwa unanyanyapaa watu kuwa hawajakamilika mpaka waoe au waolewe na wazae, wakati kuna watu hawajaoa wala kuzaa na wana mchango mkubwa sana hapa duniani?
Haya, ikiwa mtu anajijua yeye ana matatizo ya afya ya kurithisha, na hataki kuwa na mke wala mtoto na kuwapa wengine tabu, huyo naye akikataa kuoa au kuolewa utasema hataki ustawi wa jamii, taifa wala uongozi bora?
Kwa nini mnataka kuwapangia watu maisha na hamtaki waishi kama wanavyotaka wao, kqenye mambo yao?
Mtu akisema hayapendi haya naisha, yamejaa magonjwa, shida , umasikini, na hata ukiwa tajiri ni matatizo tu kika simu unawaza kuulinda utajiri wako usiibiwe, na mwisho wake tunakufa tu wote, hivyo haoni point ya kuoa na kuzaa watoto kuwaleta kwenye dunia hii yenye shida, unawezaje kutaka kumlazimisha aoe na awe na watoto?
Kwa nini mnataka kuleta huu udikteta wa kijamii wa kupangiana maisha?
Kama unapenda kuoa si uoe wewe, kwa nini unamshikia bango na kumuuliziaulizia mwingine aoe kama ni lazima?
Kwani kuoa ni lazima?
Kupata mtoto haina noma ila kuulizana au kuhamasishana kuoa big no.Kila mtoto huja na sahani yake jamani. Hebu ijazeni dunia, msiwategee wenzenu.
Tena wewe naanza sasa kukusakama mpaka kieleweke. Maana bila hivyo utatusaliti🤣🤣Kupata mtoto haina noma ila kuulizana au kuhamasishana kuoa big no.
then next time kampe ushauri PM, ukiweka hapa lazima tuhojiYou are the one who's into my business ....if you minded your business usingerukia comment yangu
Detachment gives power ....lazima tujifanye hatuwataki mtufukuzieSwali la utaoa/olewa lini mara nyingi linaibua hisia za hasira kwa mtu anaeulizwa hili swali sababu wengi ambao hawajaoa/olewa in their 30's sio kwamba wanapenda kuishia bila ndoa, watu wengi tuna struggle sana kupata wenza wa maana wa maisha.
Unampenda mtu ila yeye hakupendi, yule usiompenda yeye anakupenda, sasa una paralyze unashindwa kujua uchague yupi
Ukimpata unaempenda basi ana tabia ambazo unashindwa kuzivumilia
Hata kwenye stage ya kuanzisha mahusiano tu, watu wengi wanajiweka kwenye ule upande wa kupokea, na sio kutoa, mdada anakua amevutiwa na wewe ila akikuona anajifanya hajali, ili awe na power kwenye hio relationship, vivyo hivyo kwa wanaume mwanaume anapenda ila anashindwa kuweka effort ya kukuza mahusiano kwa kuogopa hasara Joanah Mallerina HAYA LAND HOV Silivian
Mkuu umeongea uhalisia tunasumbuliwa na ego, then watu wengi kukosa watu sahihi napo kunachelewesha kufanya maamuziSwali la utaoa/olewa lini mara nyingi linaibua hisia za hasira kwa mtu anaeulizwa hili swali sababu wengi ambao hawajaoa/olewa in their 30's sio kwamba wanapenda kuishia bila ndoa, watu wengi tuna struggle sana kupata wenza wa maana wa maisha.
Unampenda mtu ila yeye hakupendi, yule usiompenda yeye anakupenda, sasa una paralyze unashindwa kujua uchague yupi
Ukimpata unaempenda basi ana tabia ambazo unashindwa kuzivumilia
Hata kwenye stage ya kuanzisha mahusiano tu, watu wengi wanajiweka kwenye ule upande wa kupokea, na sio kutoa, mdada anakua amevutiwa na wewe ila akikuona anajifanya hajali, ili awe na power kwenye hio relationship, vivyo hivyo kwa wanaume mwanaume anapenda ila anashindwa kuweka effort ya kukuza mahusiano kwa kuogopa hasara Joanah Mallerina HAYA LAND HOV Silivian