“Unaoa lini?” Ni swali lililoulizwa sana jana Uchagani

“Unaoa lini?” Ni swali lililoulizwa sana jana Uchagani

Kuna umri ukifika hili swali huwezi kulikwepa na inabidi ukubaliane nalo huwezi kusema watu wakuache na maisha yako, katika hatua za maisha ya mwanadamu ndoa ni moja ya hatua muhimu sana. Ni vile siku hizi maadili yamepungua watu wanapuuzia
Hizi sheria za kijima.

Mtu mzima ana maamuzi yake mwenyewe na kuoa si lazima.
 
Ni moja ya swali la kipimbi kabisa kuulizwa,mbaya zaidi mara nyingi linaulizwa na either ndugu wa mbali sana ambao huwajui ama huna mazoea nao ama majirani tu ambao kimsingi wote hao haiwahusu

I mean...unataka kujua naingia kwenye ndoa lini ili ikusaidie nini?
Isiwe sizitaki mbichi hizi
 
Watu wakikuuliza utaoa au kuolewa lini utasema haiwahusu wakuache na maisha yako, lakini watu hao hao wakikukuta njiani usiku labda umepata ajali unahitaji msaada wa kupelekwa hospital ili kuokoa maisha yako, wakaamua kukuacha kwavile maisha yako hayawahusu. Jamii itawaonaje hao watu?
ajali huwez linganisha na ndoa mkuu
...ndoa inaitaji maandalizi kifkra, kiuchumi na kiafya.
...sasa watu wengi huzani ndoa ni km kununua pikiki yakuwa unaamka tu na hela yako unaenda dukan kununua
...fikiria unaniuliza naoa lini wakat me hata milo mitatu kwang tabu je unazan ntakujibu nn km hatutoishia.........
 
Mwamba kajinyonga kisa anadaiwa mahari
 

Attachments

  • Screenshot_20251227-202732.jpg
    Screenshot_20251227-202732.jpg
    144.4 KB · Views: 15
Kuna umri ukifika hili swali huwezi kulikwepa na inabidi ukubaliane nalo huwezi kusema watu wakuache na maisha yako, katika hatua za maisha ya mwanadamu ndoa ni moja ya hatua muhimu sana. Ni vile siku hizi maadili yamepungua watu wanapuuzia
Aliyesema kwamba katika hatua za maisha ya mwanadamu, ndoa ni hatua ya muhimu ni nani?

Kwa misingi ipi?
 
Pia mimi ninapitia hayo masaibu nina miaka 45 na sijaoa,kila nikienda mkoani huwa waniuliza "mwali utaleta lini",huwa nakosa cha kujibu mpaka sai nimeamua kutokwenda mkoani.
Niko mid 30 naulizwa sana hili swali.

Linanikera sio kwamba sitaki kabisa kuoa ila katika mapambano yangu Sasa hivi ndio naanza kula matunda baada ya msoto mkali wa miaka 10+

Nina wanawake wawili.

Nimeacha hata kwenda Kwa ndugu sababu hili swali lazima waulize

Na wengi sio kwamba wananijali kivile ni watu wa mbali hawajui hata ABC zangu.
 
Back
Top Bottom