Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Mie naogea magwanji...
Kwani ako na vipelevya joto
naogopa kulhtaja laweza kuwa ni lako!
Hakuna moment naipenda kama kuoga...hivyo niko tayari ku spend kiasi chochote nipate sabuni inayonivutia...na napenda kubadili harufu tofauti tofauti...
Nilishangaa kuwa tuko wengi tunaopenda kuoga...kuna colleague zangu walianzisha hiyo topic...yani ukiwa bafuni na sabuni nzuri una refresh mawazo kinoma....nadhani ni hobby ya wanawake wengi kuoga na sabuni nzuri (si zenye harufu kali maana wengine tuna allergy...kuna harufu nyingi nzuri)
Mimi kuoga kituo cha polisi, nadhani nahitaji msaada wako
Nakuoga nako huwa tunachagua sabuni??? Sikulijua hili ...
weka mazingira rafiki bafuni, hutochukia kuoga.
dah mimi wa kwanza..nikitumia GIV mwili unaniwasha sanaaaa...silali usiku najikuna kama kichaa...sijui kuna dawa mule inanifanyia allergy ...natumia imperial mambo shwari..hehehe