Unaogea sabuni gani yenye manukato mazuri?

Unaogea sabuni gani yenye manukato mazuri?

nikiwa sober, naogea radox
Drunk kama sasa naogea mbuni
 
Jaribuni kuogea na zile sabuni zenye madoa doa kutoka kigoma jamani! Home Sweet Home!

Dont try that at home! lol. utakoma na povu machoni, harufu yenyewe ile, hm! hm!
 
Nadhani utakuja kutuuliza tena "PUCHU" tunapenda kutumia sabuni gani
 
Hakuna moment naipenda kama kuoga...hivyo niko tayari ku spend kiasi chochote nipate sabuni inayonivutia...na napenda kubadili harufu tofauti tofauti...

Nilishangaa kuwa tuko wengi tunaopenda kuoga...kuna colleague zangu walianzisha hiyo topic...yani ukiwa bafuni na sabuni nzuri una refresh mawazo kinoma....nadhani ni hobby ya wanawake wengi kuoga na sabuni nzuri (si zenye harufu kali maana wengine tuna allergy...kuna harufu nyingi nzuri)

Mimi kuoga kituo cha polisi, nadhani nahitaji msaada wako
 
Nakuoga nako huwa tunachagua sabuni??? Sikulijua hili ...
 
Jaribuni kuogea Spirit au ukikosa jaribu Konyagi
 
Nakuoga nako huwa tunachagua sabuni??? Sikulijua hili ...

dah mimi wa kwanza..nikitumia GIV mwili unaniwasha sanaaaa...silali usiku najikuna kama kichaa...sijui kuna dawa mule inanifanyia allergy ...natumia imperial mambo shwari..hehehe
 
dah mimi wa kwanza..nikitumia GIV mwili unaniwasha sanaaaa...silali usiku najikuna kama kichaa...sijui kuna dawa mule inanifanyia allergy ...natumia imperial mambo shwari..hehehe

Kama mimi Giv itakua na shida ile hata mi inanikataa na siku emperial zikitoweka sokoni sijui itakuaje maana ndo sabuni pekee inayonikubali
 
Back
Top Bottom