Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

Hata mimi sijaelewa kwa kweli
hapa inakuwaje hasa?
Irina ndiye alilipa kwa mwenye nguruwe ili apigwe kitu
Au
Mwenye nguruwe ndiye alimlipa Irina Shayk ili apigwe kitu na nguruwe wake
Ama
Ni katika furaha tu kila kitu ni free basi tu wote wapate enjoyments
 
Achana na hekaya za wapelestina na wayahudi,

Pepo Ni hapa hapa duniani, ukifa tu habari yako imeishia hapo hapo

Enjoy ur life to the fullest [emoji4]View attachment 2069128
Tatizo ni pesa ya kufanya enjoyment. Kwa mfano Mimi nilishi kidogo Thailand nilifanikiwa kwenda Pattaya kama mara Tatu hivi. opportunity ya kufika Pattaya ilipatikana kwasababu tuu nilikuepo nasoma huko MSc .

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Kweli dunia sio mbaya bali binadamu ndo shidaa.....mmmh
 
Safi kabsa mkuu...

Enhee endelea kudadavua na gharama za kula bata huko zikoje.

NB kama umeshajibu ntakutana nayo
 
Kiongozi msc yako umeipatia thailand πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Safi kabsa mkuu...

Enhee endelea kudadavua na gharama za kula bata huko zikoje.

NB kama umeshajibu ntakutana nayo
Gharama sio Kubwa KIIVYO,
Kama umewahi kuishi london, gharama za pale Ni almost half price kila kitu.

Ila hata Kama huna Ela Sana,
Party za hivi ukishakua gang lako la mabilionea flan, au uko social Sana huna haja ya kutumia hata Mia yako.

Cha muhimu uingie ndani,

Maboss wanalipia TU bills ili kuenjoy[emoji4]

Wenzetu sio wachoyo linapokuja Suala la bata la pamoja, Cha muhimu waenjoy[emoji4]
 
Tatizo badae unaweza ambiwe uzilipe... Hehehh

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Uzuri wa huyu mwamba huwa haanzishi thread kwa mambo hizi. Yeye huwa anatoa uexpert wake kwenye thread kama hizi.
Na baada ya mda thread inakua kama ya kwake kwa jinsi anavyoikimbiza πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…