Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

Pepo anakemewa[emoji4][emoji116]
images-288.jpg
 
Hata mimi sijaelewa kwa kweli
hapa inakuwaje hasa?
Irina ndiye alilipa kwa mwenye nguruwe ili apigwe kitu
Au
Mwenye nguruwe ndiye alimlipa Irina Shayk ili apigwe kitu na nguruwe wake
Ama
Ni katika furaha tu kila kitu ni free basi tu wote wapate enjoyments
 
Achana na hekaya za wapelestina na wayahudi,

Pepo Ni hapa hapa duniani, ukifa tu habari yako imeishia hapo hapo

Enjoy ur life to the fullest [emoji4]View attachment 2069128
Tatizo ni pesa ya kufanya enjoyment. Kwa mfano Mimi nilishi kidogo Thailand nilifanikiwa kwenda Pattaya kama mara Tatu hivi. opportunity ya kufika Pattaya ilipatikana kwasababu tuu nilikuepo nasoma huko MSc .

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Kweli dunia sio mbaya bali binadamu ndo shidaa.....mmmh
 
Nauli inategemea unaenda mwezi gani na unatumia ruti ipi kutokea DAR.

Kuanzia mwezi December mpaka mwezi wa April nauli za kwenda Spain zinakua cheap Sana kwa maana sio miezi ya watu kula Bata
(Miezi ya Bata sana Ni kuanzia May mwishoni au JUNE mwanzoni mpaka kwenye November mwanzoni)

Ukitumia ruti ndefu,
utatumia Zaid ya siku tatu kufika na nauli itacheza around 2.5million mpaka unaingia marbella.
[emoji117]Dolla 520 DAR- DUBAI
[emoji117]Dolla 470 DUBAI-BARCELONA
[emoji117]Dolla 50 BARCELONA- MALAGA (marbella airport)

Ila ukitumia ruti fupi zaidi,
Utatumia siku Moja TU ushingia Malaga.
Maana utatumia Expressflight za Moja kwa Moja kutoka dar, afu johanessburg (kuongeza mafuta) Kisha unatua Barcelona.
Kisha unachukua vindege vidogo vya kukufikisha malaga, ambako ndo marbella iliko.

Hapo sio chini ya million 4.5 mpaka unatua Malaga marbella[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kabsa mkuu...

Enhee endelea kudadavua na gharama za kula bata huko zikoje.

NB kama umeshajibu ntakutana nayo
 
Tatizo ni pesa ya kufanya enjoyment. Kwa mfano Mimi nilishi kidogo Thailand nilifanikiwa kwenda Pattaya kama mara Tatu hivi. opportunity ya kufika Pattaya ilipatikana kwasababu tuu nilikuepo nasoma huko MSc .

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Kiongozi msc yako umeipatia thailand 👏👏👏
 
Safi kabsa mkuu...

Enhee endelea kudadavua na gharama za kula bata huko zikoje.

NB kama umeshajibu ntakutana nayo
Gharama sio Kubwa KIIVYO,
Kama umewahi kuishi london, gharama za pale Ni almost half price kila kitu.

Ila hata Kama huna Ela Sana,
Party za hivi ukishakua gang lako la mabilionea flan, au uko social Sana huna haja ya kutumia hata Mia yako.

Cha muhimu uingie ndani,

Maboss wanalipia TU bills ili kuenjoy[emoji4]

Wenzetu sio wachoyo linapokuja Suala la bata la pamoja, Cha muhimu waenjoy[emoji4]
 
Tatizo badae unaweza ambiwe uzilipe... Hehehh

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom