Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
- Thread starter
- #381
Nipo nawaona wateule wa bwana 😄Kahamia kwenye siasa za waziri mkuu na spika ajaye[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo nawaona wateule wa bwana 😄Kahamia kwenye siasa za waziri mkuu na spika ajaye[emoji4]
Khaaaa!Wateule wenyewe Sasa[emoji4][emoji116]View attachment 2074782
Pepo anakemewa[emoji4][emoji116]Khaaaa!
[emoji849][emoji849][emoji849]Uko marbella,
Ndiko kulisababisha Cristiano Ronaldo kuachana na aliyekua mpenz wake mwanamitindo IRYNA SHAYK
Alivokwenda kwenye onyesho la mavazi, ndipo clip ikavuja akifanywa mapenz na NGURUWE[emoji4][emoji116]View attachment 2067319View attachment 2067320View attachment 2067321
Mzalendo wa bukoba[emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nmecheka sanaaa
Tatizo ni pesa ya kufanya enjoyment. Kwa mfano Mimi nilishi kidogo Thailand nilifanikiwa kwenda Pattaya kama mara Tatu hivi. opportunity ya kufika Pattaya ilipatikana kwasababu tuu nilikuepo nasoma huko MSc .Achana na hekaya za wapelestina na wayahudi,
Pepo Ni hapa hapa duniani, ukifa tu habari yako imeishia hapo hapo
Enjoy ur life to the fullest [emoji4]View attachment 2069128
Katerero ni pamebarikiwa Kwa Hali hii....Mzalendo wa bukoba
Uko kwenu katelelo Ayo mambo yapo?[emoji4]
Safi kabsa mkuu...Nauli inategemea unaenda mwezi gani na unatumia ruti ipi kutokea DAR.
Kuanzia mwezi December mpaka mwezi wa April nauli za kwenda Spain zinakua cheap Sana kwa maana sio miezi ya watu kula Bata
(Miezi ya Bata sana Ni kuanzia May mwishoni au JUNE mwanzoni mpaka kwenye November mwanzoni)
Ukitumia ruti ndefu,
utatumia Zaid ya siku tatu kufika na nauli itacheza around 2.5million mpaka unaingia marbella.
[emoji117]Dolla 520 DAR- DUBAI
[emoji117]Dolla 470 DUBAI-BARCELONA
[emoji117]Dolla 50 BARCELONA- MALAGA (marbella airport)
Ila ukitumia ruti fupi zaidi,
Utatumia siku Moja TU ushingia Malaga.
Maana utatumia Expressflight za Moja kwa Moja kutoka dar, afu johanessburg (kuongeza mafuta) Kisha unatua Barcelona.
Kisha unachukua vindege vidogo vya kukufikisha malaga, ambako ndo marbella iliko.
Hapo sio chini ya million 4.5 mpaka unatua Malaga marbella[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi msc yako umeipatia thailand 👏👏👏Tatizo ni pesa ya kufanya enjoyment. Kwa mfano Mimi nilishi kidogo Thailand nilifanikiwa kwenda Pattaya kama mara Tatu hivi. opportunity ya kufika Pattaya ilipatikana kwasababu tuu nilikuepo nasoma huko MSc .
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Sio kuwa watu wanataka elimu Kama wewe Bali kubadilisha mazingiraKiongozi msc yako umeipatia thailand 👏👏👏
Sahivi tuko pattaya Thailand[emoji4]Uzi umeazia maldives [emoji1787][emoji1787][emoji1787] post ya kwanza na ukaishia hapo hapo.
Kwingine ni Malaga- Spain
Pussy power.
Gharama sio Kubwa KIIVYO,Safi kabsa mkuu...
Enhee endelea kudadavua na gharama za kula bata huko zikoje.
NB kama umeshajibu ntakutana nayo
Uzuri wa huyu mwamba huwa haanzishi thread kwa mambo hizi. Yeye huwa anatoa uexpert wake kwenye thread kama hizi.[emoji2][emoji2]we boya DeepPond ni mtu na nusu sio kwa ufukunyuku uo
Tatizo badae unaweza ambiwe uzilipe... HehehhGharama sio Kubwa KIIVYO,
Kama umewahi kuishi london, gharama za pale Ni almost half price kila kitu.
Ila hata Kama huna Ela Sana,
Party za hivi ukishakua gang lako la mabilionea flan, au uko social Sana huna haja ya kutumia hata Mia yako.
Cha muhimu uingie ndani,
Maboss wanalipia TU bills ili kuenjoy[emoji4]
Wenzetu sio wachoyo linapokuja Suala la bata la pamoja, Cha muhimu waenjoy[emoji4]
Na baada ya mda thread inakua kama ya kwake kwa jinsi anavyoikimbiza 😃😃😃Uzuri wa huyu mwamba huwa haanzishi thread kwa mambo hizi. Yeye huwa anatoa uexpert wake kwenye thread kama hizi.
Wazungu hawana hizo mkuu[emoji4]