Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

duh, dunia ina mengi ya kustaajabisha
Acha TU mkuu,
Kule watu wanaangalia Ni vipi pesa inaingia, hofu ya MUNGU wengi hawana.
(Hasa ASIANS na CAUCASIANS wengi hatambui uwepo wa mungu)

Wamewekeza sana kwenye utalii wa ngono (sex tourism) kwa maana wameona ndo starehe inayoingiza pesa sana.

Ndo maana hawaoni ajabu kujenga masanamu ya watu waliokaa uchi na kuyapachika katikati ya barabara.

Hawaoni ajabu kushiriki ngono na mnyama,

Hawaoni ajabu kubadili jinsia ili uwe unavyotaka ( shemales, tranny, transexuals n.k)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4.5 mil hela ya kiwanja chanika zingiziwa (maneno ya masikini)[emoji38][emoji38]
 
Umeniweka kwenye wakati mgumu sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuuh pesa muhimu wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
This is awesome
 
Nitake radhi kwa sana
Yaani jike sniper uliona wapi
Halafu hata mwandiko ukiwa unaelewa utajua tu ni tofauti

Next time soma topic zingine alizo participate mtu na utamjua ni ke au me
Wewe ni mtu wa kwanza kudhani hivyo and I was gobsmacked
Au uko marbella nini mbna umekuwa pilipili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…