Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

Hakuna Sehemu inaweza ishinda Las Vegas. Kule nadhani moto wake utakuwa wa machuma ya reli
Aaah wapi[emoji4]
Kule ilikua miaka ya 2000- 2005,

Nowdays pamebaki na legacy TU kwasababu ya kuvuma miaka ile.

Majengo na mazingira yamekaa kizamani sana kwasababu ya kutokuendelezwa ili kuendana na wakati.

sahv USA viwanja vya laana Ni SOUTH BEACH ,MIAMI hasa ile beach ya HAULOVER

Kule watu wanafanya kufulu[emoji116][emoji4]
View attachment 2068312View attachment 2068314View attachment 2068313

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salute mkuu [emoji134][emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…