Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Unataka tutembee tukinuka Jua aisee"mwanaume unapaka mafuta ili iweje, mambo ya kike hayo"
Kuna mtu kanituma niseme kwa niaba, naomba nisifokewe.
Unataka tutembee tukinuka Jua aisee"mwanaume unapaka mafuta ili iweje, mambo ya kike hayo"
Kuna mtu kanituma niseme kwa niaba, naomba nisifokewe.
Acha tu mkuu ,Uliingia na gear ya kunyanyulia ndege lazima upigwe huo mzinga.
Main aim of the thread sio kushindana na wanawake. the main aim of the thread is to teach men "to prioritize themselves before anyone else"Sasa mkuu, kwenye hii scenario huoni kwamba unazingua?
Yani unataka wanaume tushindane urembo na wanawake? Are u seriously serious?
Kwamba hata kuoga tuwashinde!
Kwamba hadi kuvaa tuwashinde!
Kwamba hadi kusuka tuwashinde!
Kuna baadhi ya scenario wanaume tunawashinda na kuna baadhi ya scenario wanaume siyo angle yetu, tuwaache walivyo.