Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Uzi muhimu sana...nitauprint ili niweze kuufanyia lamination ubandikwe ofisini...
😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi muhimu sana...nitauprint ili niweze kuufanyia lamination ubandikwe ofisini...
Chai
Fact tupu,
Sema ukifuata yote uliyoandika,
Hapa dunaiani utaishia Kama uko jela[emoji4]
Taikon leo umeongelea maisha yangu halisi Kabisaaa
Mfano wakati namaliza chuo niliahidiwa kazi mbele ya rafiki angu wa shida na raha kumbe jamaa hakufurahia baada ya mwaka nikiwa nimekosa ile kazi akafunguka kua siku nimeahidiwa kazi mbele yake hakulala usiku ivo alikesha akiomba mungu nisiipate na kweli alishukuru siku ipata... Aiseeeh nilibaki speechless 🤔🤔🤔
Moja Kati ya nyuzi Bora sn za huu mwezi..Naupa Hadhi ya nyota tano[emoji294][emoji294][emoji294][emoji294][emoji294]
namba 3 iliniponza ikanirudisha steps nyingi nyuma kimaisha...
Uzi muhimu sana...nitauprint ili niweze kuufanyia lamination ubandikwe ofisin.
Sorry Taikon,
Hivi hizi point ukiwamezesha mapema wanao si wanaweza badilika kuwa makauzu/gaidi.
Ama tukishazifanyia lamination pia tuseme "weka mbali na watoto"??