Oficial chawa
Member
- Jun 15, 2022
- 8
- 15
Uhakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejifunza tuwe angalau na chembechembe za ubinafsi
Uzi Bora Sana taikon
100% fact, nilikua napenda sana kusaidia watu. Number 3 ikanikuta tena juzi juzi tu.
Shukrani Mkuu, Natamani huu uzi ningeusoma mwaka jana haya mambo yasingenikuta.Binadamu ni toxic sana.Pole Sana Mkuu
Dah ninatamani nitoe ushuhuda wa point nyingi ulizozitaja Hadi kunipelekea kubadilisha life style ingawa wanao nijua hawajui sababu.
Hawajui sababu kwa sababu sipendi kuongea mabaya ya watu nadhani point 13 inaelezea.
Huyo bado mwanao. Kuuliza kwa nini jamaa yangu kachaguliwa mimi nimeachwa siyo u snitch. Huenda alijua mtapata wote. Kifupi hakukosea kuuliza hivyo, wewe ndiye mbaya kwa sababu ulifikiria tofauti.Nilikua na mwanangu huyo tulipiga wote kuanzia o-level, advance mpaka chuo. Yaani tulikua kama mapacha kila sehemu tuko pamoja.
Tulivyomaliza chuo tukaanza kusambaza cv pamoja, kila sehem tunaomba pamoja.
Sasa siku moja tuliitwa kwenye written interview ya shirika moja kubwa hapa nchini, ile interview ilikusanya watu wengi sana
Majibu kutoka mimi nimechaguliwa kwenda next stage ya oral interview lkn mshkaji wangu yeye kaachwa
Huwezi kuamini kuna mtu alikuja nitonya eti rafiki yangu analalmika kwanini mimi nimechaguliwa yeye kaachwa.
Ukweli niliumia sana,nikasema kwanini hakulalamika kuchaguliw kwa wale wengine asowajua ambao hata akikwama hawawezi kumsaidia chochote badala yake analalmika me kuchaguliwa wakati anajua kabisa mimi nikifanikiwa hata na yeye atapata unafuu.
Tangu siku hiyo nikasema rafiki wakweli kama yule aliyemuimba Langa R.I.P kwa dunia ya sasa hayupo.
Sina kinyongo na mshkaji wangu japo sasa hv tupo location tofauti lkn namwambia nikiwa na buku una haki ya kuniomba jero
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hapa naona wewe ndiyo umemkosea Rafiki yako kwa kuyapa kipaumbele maneno ya kuambiwa..Nilikua na mwanangu huyo tulipiga wote kuanzia o-level, advance mpaka chuo. Yaani tulikua kama mapacha kila sehemu tuko pamoja.