Unapaswa ujue haya mapema kuhusu Binadamu

Mkuu umekula lakini?
 
Jamaa inaonekana alitaka tuchaguliwe wote au tukose wote kitu ambacho sikubaliani nacho, ni either tupate wote au mmoja kati yetu apate na sio wote tukose. Jamaa hakupaswa kuumia me kupata

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kuishi vizuri na watu imewaponza wengi sana( namlaumu nyerere hapa lol), nashukuru Mungu nimezaliwa mbinafsi... self preservation is key!
Huo ni ulemavu ulionao. Na nyerere kumemponza vipi kuishi na watu vizuri?
 
Jamaa inaonekana alitaka tuchaguliwe wote au tukose wote kitu ambacho sikubaliani nacho, ni either tupate wote au mmoja kati yetu apate na sio wote tukose. Jamaa hakupaswa kuumia me kupata

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hujanielewa, yeye aliuliza kwa mshangao na siyo kwa kukuonea wivu au kuumia kwa wewe kupata. Narudia, acha kuleta vitu ambavyo havipo. Usimlishe maneno huyo jamaa yako. Kuuliza hivyo mbona ni vitu vya kawaida sana?

Nyie ndiyo wale mtu akiuliza kuhusu mafanikio yako fulani, mnamuona snitch na anawaonea wivu, tabia za kishamba hizo.
 
Andiko lako hili bwan Robert Heriel....linapaswa kuwekwa kwenye sylabus zetu za elim ....watoto na wngine wakue wakujua binadam tuna tabia zipi ili kung`amua changamoto zitokeapo...
 
Andiko lako hili bwan Robert Heriel....linapaswa kuwekwa kwenye sylabus zetu za elim ....watoto na wngine wakue wakujua binadam tuna tabia zipi ili kung`amua changamoto zitokeapo...

Watoto wa siku hizi hawataki mambo haya Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…