The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Naomba kuuliza wataalam, unapaswa upime mara ngapi kujua kama una ukimwi.
Jana nimempima mtu majibu yakaja positive ila yeye anasema kapima juzi ana negative, pia alipima last month alikua na negative. Tumeenda hospitali dokta akasema lazima majibu yathibitishwe na unigold test na kua hizi test nyingine zinaweza kua na majibu yasiyo sahihi, leo ndio nategemea kwenda kwenye unigold.
Nilishiriki na huyu mtu ngono juzi jumapili, baada ya haya majibu nilijawa na wasiwasi ikanibidi nimuombe dokta anianzishie pep, toka nimeshiriki nae ngono ilikua masaa kama 30 hadi kuanzia pep.
Je ni sahihi kuanza pep bila kufanya test ya pili? Ama nimewahi sana? Pia tulijipima wenyewe hotelini, dokta akasema inawezekana tumeweka sample ya damu nyingi kupita kawaida au tumefanya makosa mengine.
Haya ndio majibu yake.
Updates 27/01/2020.
Jana nimemaliza siku 28 za PEP. Nimepima muda huu haya ndio majibu.
Majibu kabla ya pep.