feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Kabisa hiyo ni positive atumie Pep kwa usahihi tuone itakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu PEP unatakiwa uanze within 72 hours baada ya contact (muda unavyokuwa mdogo ndio outcome inakuwa vizuri zaidi kwahio ukihisi umeuza mechi sehemu hatari unaenda kupima ukikutwa neg unaanza pep as soon as possible)
Kuhusu kupima ukakuta huyo binti ni positive (kwakuwa hapa ni jf sitapepesa macho) huyo binti kama haujachanganya damu ya mtu mwingine ni +ve kweli.. kipimo hicho huwa kina specificity ya 99.6% na kutokana na research hio 0.4 iliyobaki ni kutokana na watu kuchanganya vipimo tu..
Kama umekuta positive ukienda kwenye unigold utakuta positive tu.
Hizo ngonjera za kupima juzi na kukuta negative unaingizwa mjini..
Sent using Jamii Forums mobile app