Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
hahahaha hivi vipimo vitakuja kutuua kwa presha, kama kimebaki muda mchache kuisha muda wake kinasoma ve+ kama hakina akili nzuri (uchunguzi wangu) ukisoma nje ya muda hakikawii kuweka mistari mi 3
kujipima huku kutakuja kutuua, pole sana kwa dogo mkuu lazima bado ana mawenge kwa majibu yale.
Weee acha mkuu, Kwanza hatukuamini walichukua na damu ya kwenye mshipa wakaipeleka kufanya maabara huko kujiridhisha tukaja kuchukua majibu -Ve.
Dogo akipiga simu amekuwa mtiifu maana angeanza dozi mzima mzima yaani.