John Wanyika
Member
- Dec 9, 2019
- 59
- 291
Kama akikutwa ni negative hapo maana yake kuna kosa mahali... huwa hii inaitwa inconclusive.. inatakiwa mchakato wa kupimwa uanze upya.. mtaanza tena kupima kwa rapid test akiwa negative unamaana hana HIV na wewe utaacha kutumia PEP..Mkuu leo nampeleka muhisika kupima unigold, je akikuta ni negative natakiwa kuacha pep? Kuna madhara naweza kupata ?
Ikijirudia tena rapid test ikawa +ve halafu unigold negative watawapa referral kwemda kupima kwa vipimo konki zaidi